SERIKALI YATUPILIA MBALI MADAI YA CHADEMA KUHUSU AWAMU YA RAIS MAGUFULI

SHARE:

Na Bushiri Matenda- MAELEZO Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imekanusha taarifa iliyotolewa na uongozi wa CHADEMA kuhusu suala ...

Na Bushiri Matenda- MAELEZO
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imekanusha taarifa iliyotolewa na uongozi wa CHADEMA kuhusu suala la ubinafsishaji na kuwa hakuna viwanda vipya vilivyojengwa katika awamu hii kwa vile hakuna mkopo wa kuanzisha viwanda.
Taarifa iliyotolewa Jijini Dar es Salam imesema kuwa viwanda vilivyokuwepo viliuzwa kwa bei rahisi kwa kuwa wawekezaji waliovichukua waliingia mikataba ya kuviendeleza na Serikali, hivyo vilichangia mapato ya serikali na kutoa ajira.
Aidha baadhi ya wawekezaji wa viwanda vilivyobinafsishwa waliviendeleza na mpaka sasa vimeendelea kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa nchi. Baadhi ya viwanda hivyo ni Kiwanda cha Bia (TBL), Kiwanda cha Sigara (TCC), Viwanda vya Saruji vya Mbeya, Tanga na Twiga.
Hata hivyo viwanda vilivyokiuka mkataba vitarudishwa serikalini ili vitangazwe kwa wawekezaji wenye uwezo wa kuviendeleza ili viendelee na uzalishaji ambao utatoa fursa ya ajira na kuingiza mapato serikalini.
Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa kwa kuwa viwanda hivyo vilijengwa kwa fedha za watanzania na kuuzwa kwa wawekezaji ili waviendeleze na wao wakavunja mikataba kwa makusudi nia ya kuvirejesha serikalini haina ubaya wowote.
Serikali imeendelea kujenga viwanda kutokana na kupata mikopo kutoka katika taasisi za kifedha za ndani.Viwanda hivyo ni Pipeline industries, Masasi Food Industries na CATA mining Ltd. Takwimu zinaonyesha kuwa jumla ya viwanda 224 vilisajiliwa kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC), 41 kupitia Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji (EPZA), 128 kupitia BRELA na 2,143 kupitia shirika la viwanda vidogo(SIDO ).
Aidha wizara imetoa tahadhari kwa wawekezaji waliobinafsishiwa viwanda na hawajaviendeleza kuharakisha kuvifufua kwa mujibu wa mikataba yao kwani zoezi la kuvirejesha serikalini limeanza kwa kasi.
Watanzania wametakiwa kuendelea kutumia fursa zilizopo za kujenga viwanda ili kuipeleka nchi yetu katika uchumi wa kati.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YATUPILIA MBALI MADAI YA CHADEMA KUHUSU AWAMU YA RAIS MAGUFULI
SERIKALI YATUPILIA MBALI MADAI YA CHADEMA KUHUSU AWAMU YA RAIS MAGUFULI
https://3.bp.blogspot.com/-0F5Fry-EBOE/WYFp59v_MoI/AAAAAAAAdOU/iJwGrK6A6DUaVRmX7DX7bohKUoOzmT7YwCLcBGAs/s1600/x3..-750x375.jpg.pagespeed.ic.Edy-KdA9B-.webp
https://3.bp.blogspot.com/-0F5Fry-EBOE/WYFp59v_MoI/AAAAAAAAdOU/iJwGrK6A6DUaVRmX7DX7bohKUoOzmT7YwCLcBGAs/s72-c/x3..-750x375.jpg.pagespeed.ic.Edy-KdA9B-.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/serikali-yatupilia-mbali-madai-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/serikali-yatupilia-mbali-madai-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy