SHILOLE: SIWEZI KUOLEWA NA MUME WA MTU

Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
MSANII wa Miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa watu wajaribu kuziba midomo yao kutokana na ishu yake ya kudaiwa kutaka kuolewa na mwanaume wa mtu aitwaye Uchebe na kusema kuwa angekuwa wa mtu asingeenda kwake.
Akizungumza na Star Mix, Shilole alisema kuwa anashangazwa na watu ambapo wakiona mtu yuko na mtu f’lan ndipo wanaibuka na madai tele kitu ambacho hakiwezi kumsumbua hata siku moja.
“Waseme wanavyoweza wala siwezi kutetemeka kwa hilo na sidhani kama naweza kuolewa na mume wa mtu na kama angekuwa mume wa mtu asingekuja kwangu,” alisema Shilole.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post