TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

SHARE:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya siku ya majeshi yanayoanza tarehe 25 Agost...

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya siku ya majeshi yanayoanza tarehe 25 Agosti 2017.
Sherehe hizi ni za kuadhimisha siku ya kuanzishwa kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambazo hufanyika kila mwaka tarehe 01 Septemba, mwaka huu sherehe hizo zitaadhimishwa wakati Jeshi linatimiza miaka 53 tangu lilipoasisiwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza Marehemu Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere  Septemba Mosi 1964.
Mwaka huu 2017 maadhimisho hayo yatafanyika kwa wanajeshi kufanya shughuli mbalimbali kuanzia tarehe 25 Agosti 2017 hadi tarehe 31 Agosti 2017 na kilele cha maadhimisho hayo kitakuwa tarehe 01 Septemba 2017.
Shughuli hizo ni pamoja na kufanya shughuli za huduma za kijamii katika maeneo jirani na vikosi vya Jeshi, Wanajeshi kuchangia damu salama katika hospitali mbalimbali nchini, kutoa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa Dar es salaam huduma za tiba zitatolewa katika viwanja vya mnazi mmoja kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe 01 Septemba.
Aidha wanajeshi watafanya michezo mbalimbali na wananchi pamoja na kushiriki kufanya usafi kwenye maeneo ya kijamii (Hospitali, Masoko, Mashule n.k) na pia watafanya michezo shirikishi na jamii inayowazunguka.

Kauli Mbiu ya maadhimisho haya ni Wiki ya Majeshi na Afya yako.
Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756-716085

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
https://2.bp.blogspot.com/-EHDPpC4UAhU/WaF5HcY_2CI/AAAAAAAAd_o/b_cWXw63ymUmEAjRCcmdIUASWij05mR1QCLcBGAs/s1600/jw.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-EHDPpC4UAhU/WaF5HcY_2CI/AAAAAAAAd_o/b_cWXw63ymUmEAjRCcmdIUASWij05mR1QCLcBGAs/s72-c/jw.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/taarifa-kutoka-jeshi-la-ulinzi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/taarifa-kutoka-jeshi-la-ulinzi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy