TAMBUA: WAWEZA KURIDHIA KUJAMIIANA HATA KAMA UMEPOTEZA FAHAMU UKIWA UMELEWA

SHARE:

Profesa wa Saikolojia nchini Marekani, mwanamama Kim Fromme ameamua kuthibitisha kwamba sio tu kwa sababu mtu amepoteza fahamu kutokana n...

Profesa wa Saikolojia nchini Marekani, mwanamama Kim Fromme ameamua kuthibitisha kwamba sio tu kwa sababu mtu amepoteza fahamu kutokana na ulevi basi iwe hajaridhia kujamiiana.
Amefanya kazi kwa miaka 24 iliyopita kutafiti uhalali wa ridhaa ya kufanya mapenzi anayotoa mtu akiwa amepoteza fahamu kutokana na kuzidiwa na pombe. Jarida la BuzzFeed limeripoti kuwa profesa huyu ameshatoa ushahidi mahakamani, kushauri, au kutoa maelezo ya kitaalamu kwa zaidi ya kesi 50 za jinai, madai na kesi za Kijeshi zinazohusu ubakaji tangu mwaka 2009.
Tafiti zilizoendeshwa na Profesa Fromme zimeonesha kwamba takriban asilimia 50 ya watu wanaokunywa pombe huwa wanapoteza fahamu na ni jambo la kawaida zaidi kutokea kwa wanawake wanaokunywa pombe.
Kwa mujibu wa mtaalamu huyu, kuna aina mbili za kupoteza kumbukumbu kutokana na ulevi: ya kwanza inatokea ambapo muathirika huwa anakumbuka baadhi tu ya mambo yaliyokuwa yanaendelea akiwa amelewa, lakini sio tukio zima mwanzo hadi mwisho, na ya pili ni pale mtu anapokuwa anaelewa kinachotokea lakini hakihifadhiwi kwenye kumbukumbu ya muda mrefu kwenye ubongo. Kwenye aina ya kwanza, marafiki uliokuwa nao wakati mnaelewa wanaweza kukusaidi kukumbuka matukio uliyoyasahau, lakini kwenye aina ya pili, bila shaka yawezekana usikumbuke jambo lolote lililotokea hata kama ulilifanya, ulifanyiwa au uliruhusu ufanyiwe.
Katika ushahidi wake — kama kwenye kesi ya mwaka 2013 jijini Ohio ambapo wanamichezo wawili walishtakiwa kwa kosa la ubakaji — Fromme alisema kwamba wakati mtu anapopoteza fahamu, bado ubongo wake unaendelea kufanya kazi lakini unakuwa unashindwa kuhifadhi kumbukumbu ya matukio yanayoendelea kwa muda mrefu, lakini ukizimia, ubongo unaacha kabisa kufanya kazi.
Kwenye utetezi wake wa kesi hiyo, Fromme alisema kuwa, “kama ambavyo mwanamke huyu hakumbuki kwamba alibakwa kwa sababu alikuwa amepoteza fahamu, ndio vivyo hivyo ambavyo hawezi kukumbuka kama aliridhia mwenyewe kujamiiana.”
Profesa Fromme bado anatumiwa kutoa ushahidi wake wa kitaalamu kwenye kesi nyingi za unyanyasaji wa kingono na ubakaji unaohusisha walevi ambapo anadai kuwa mtu akipoteza fahamu kutokana na pombe haimaanishi kwamba anapoteza uwezo wa kutoa ridhaa halali ya kujamiiana na mtu. Mwanamama huyu amesema kuwa anaamini kuwa ana wajibu wa kimaadili ya taaluma kuhakikisha anaelimisha jamii kuhusu kupoteza fahamu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAMBUA: WAWEZA KURIDHIA KUJAMIIANA HATA KAMA UMEPOTEZA FAHAMU UKIWA UMELEWA
TAMBUA: WAWEZA KURIDHIA KUJAMIIANA HATA KAMA UMEPOTEZA FAHAMU UKIWA UMELEWA
https://1.bp.blogspot.com/-sgLOIKYfbhU/WZWENoqF-NI/AAAAAAAAdoU/Yp7WXEk70dA106hwk8BOPb57jAx2eahawCLcBGAs/s1600/xcourt-hammer-750x375.jpg.pagespeed.ic._xpkswxgWS.webp
https://1.bp.blogspot.com/-sgLOIKYfbhU/WZWENoqF-NI/AAAAAAAAdoU/Yp7WXEk70dA106hwk8BOPb57jAx2eahawCLcBGAs/s72-c/xcourt-hammer-750x375.jpg.pagespeed.ic._xpkswxgWS.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/tambua-waweza-kuridhia-kujamiiana-hata.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/tambua-waweza-kuridhia-kujamiiana-hata.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy