TAZAMA VIDEO YA WIMBO MPYA WA ALIKIBA- SEDUCE ME (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Baada ya mzozano wa takribani siku tano kati ya Alikiba, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoza, mwanamuziki Alikiba ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina Seduce Me.
Mgogoro kati ya wasanii hao uliibuka baada ya Diamond kuachia wimbo wa Fresh Remix ambao yupo na Fid Q, na Rayvanny. Katika wimbo huo, baadhi ya mistari inasemekana kuwalenga Alikiba na Ommy Dimpoz.
Unaweza kuutazama wimbo huo wa Alikiba hapa chini na kuandika maoni yako;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post