TIMBULO ASEMA WASICHANA WANAOPIGA PICHA ZA UTUPU WATAKIPATA WANACHOKITAKA

Timbulo amewaambia ma model wanaopiga picha za nusu utupu waendelee mpaka watakapopata wanachokitaka kupitia picha hizo.
Akiongea na Dizzim Online, Timbulo amesema, “Naona waendelee tu kukaa uchi kwasababu nahisi ni kitu ambacho kina faida kwa upande wao, lakini mimi kama mimi na jamii tuliyonay sidhani kama ni kitu kizuri. Lakini ndo hivyo maana kila mtu anakitangaza kile kitu ambacho anataka kutangaza na kukiuza na bila shaka kuna wateja kwenye hiyo biashara maana ingekuwa vinginevyo wangekuwa wameshaacha.”
Ameongeza, “So nazidi kuwasisitizia waendelee kukaa uchi maana hakuna namna tena kwa sasa.”
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post