UAMUZI WA MAHAKAMA BAADA YA CHID BENZ KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA

SHARE:

Kufuatia mwanamuziki Rashid Mkwiro maarufu Chid Benz na kukamatwa na dawa za kulevya, Mahakama ya Wilaya ya Ilala imeamua kumuweka chini ...

Kufuatia mwanamuziki Rashid Mkwiro maarufu Chid Benz na kukamatwa na dawa za kulevya, Mahakama ya Wilaya ya Ilala imeamua kumuweka chini ya uangalizi kwa kipindi cha miaka miwili baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kiapo dhidi ya maombi hayo.
Chid Benz alikamatwa alikamatwa na wenzake watano jijini Dar es Salaam ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa na dawa za kulevya aina ya heroine.
Wakati wa kusikiliza kesi hiyo, upande wa mashtaka uliwasilisha kiapo hicho kwamba mahakama iwaweke chini ya uangalizi baada ya kubainikia kujihusha na matumizi ya dawa za kulevya.
Maombi hayo yalisikilizwa na kutolewa uamuzi jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi Ritha Tarimo.
Mbali na Chidi Benzi, wengine watakaokuwa chini ya ungalizi ni, Hadia Abeid, Said Ally, Athuman Elias na Hassan Mohamed.
Wakili wa Serikali Glory Mwenda, alidai kuwa upande wa Jamhuri unawasilisha hati ya kiapo kutoka Kituo cha Polisi Msimbazi kwamba watuhumiwa hao wamekuwa wakijihusisha na matumizi ya dawa za kulevya hivyo mahakama itoe dhamana kwani wamekuwa na tabia mbaya katika jamii.
Glory alidai kuwa wanaiomba mahakama itoe amri ya kuwaweka wajibu maombi chini ya uangalizi wa polisi na mahakama kwa kipindi kisichozidi miaka mitatu na kusaidi dhamana ambayo itahakikisha wanakuwa na tabia njema na kutojihusisha vitendo vya dawa za kulevya.
Baaada ya kuwasilishwa kwa maombi hayo, Chidbenz na wenzake hakuwa na pingamizi.
Akitoa uamuzi hakimu alisema wajibu maombi watakuwa chini ya uangalizi wa polisi miaka miwili na kudhaminiwa na wadhamini wawili watakaotia saini ya dhamana ya Sh.milioni mbili kila mmoja na kuripoti kituo cha polisi Msimbazi kwa mwezi mara moja.
Hata hivyo, mjibu maombi Ally alishindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo alirudishwa mahabusu.
Awali, Februari 18, 2015, Chid Benz alikiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaa, mashitaka matatu ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Msanii huyo alikiri mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema.Februari 26, 2015 Hakimu Lema alimhukumu kulipa faini ya Sh. 900,000 au kwenda jela miaka miwili na msanii huyo alinusurika kwenda jela baada ya kulipa faini.
Katika kesi ya Kisutu, ilidaiwa kuwa Oktoba 24, mwaka huu katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, uliopo Ilala jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa dawa za kulevya aina ya heroin isivyo halali zenye uzito wa gramu 0.85, gramu 1.72 za bangi isivyo halali, vifaa vinavyotumika kuvuta dawa za kulevya aina ya heroin, kigae na kijiko huku akijua ni kosa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UAMUZI WA MAHAKAMA BAADA YA CHID BENZ KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA
UAMUZI WA MAHAKAMA BAADA YA CHID BENZ KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA
https://3.bp.blogspot.com/-EpOP8Kt9xVY/WZVMJonHt8I/AAAAAAAAdlc/rhnb3ioHneorsnMazIqK06WJhImtx1qkwCLcBGAs/s1600/xDSC_1015-750x375.jpg.pagespeed.ic.tx8MmgBdk5.webp
https://3.bp.blogspot.com/-EpOP8Kt9xVY/WZVMJonHt8I/AAAAAAAAdlc/rhnb3ioHneorsnMazIqK06WJhImtx1qkwCLcBGAs/s72-c/xDSC_1015-750x375.jpg.pagespeed.ic.tx8MmgBdk5.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/uamuzi-wa-mahakama-baada-ya-chid-benz.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/uamuzi-wa-mahakama-baada-ya-chid-benz.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy