UIGIZAJI WAMKOSESHA DUMA MKE

Daud Michael ‘Duma’.
MWIGIZAJI wa kiume wa sinema za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ ameeleza namna alivyokosa mke, kisa kazi ya uigizaji na kuishia kuzaa na mwanamke huyo kabla ya kufunga ndoa.
Duma aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, sababu ya kuchelewa kuoa ni kisa hicho ambapo alipata mchumba na kufanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja lakini alipokwenda kwa wazazi wake na kujitambulisha kuwa anataka kumuoa binti yao walikataa kwa kuwa yeye ni msanii wa sinema za Kibongo.
“Kiukweli sisi wasanii tunaogopwa sana hasa kwenye suala la mapenzi, yaani nimeshidwa kuoa kwa sababu mimi ni msanii, kwa sasa nipo tu hata sijui nitaoa lini,” alisema Duma.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post