UNAJUA WEMA NA DIAMOND NI ZILIPENDWA? TAZAMA VIDEO MPYA KUTOKA WCB

Baada ya kila mmoja kutoa wimbo wake, huku wakiwapo baadhi walioshirikishana, timu nzima ya wasanii kutoa WCB imeungana katika wimbo mmoja unaokwenda kwa jina la Zilipendwa.
Wimbo huo umewaunganisha Diamond Platnumz, Rayvanny, Rich Mavoko, Harmonize, Lava Lava, Queen Darlin na Mbosso.
Wimbo huo unaelezea matukio mbalimbali pamoja na watu waliokuwa maarufu miaka ya nyuma ambapo sasa vitu hivyo au watu hao ni Zilipendwa kwa hawamo au havimo tena licha ya kuwa vilitamba.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post