USHAURI WA MTAALAMU WA MAHUSIANO KWA WANANDOA

SHARE:

Rachel Sussman anasaidia watu walio kwenye uhusiano kuweza kukabiliana na migogoro yao ya kimahusiano. Kama mtaalamu wa masuala ya uhus...

Rachel Sussman anasaidia watu walio kwenye uhusiano kuweza kukabiliana na migogoro yao ya kimahusiano.
Kama mtaalamu wa masuala ya uhusiano na mshauri wa ndoa jijini New York nchini Marekani, anawasaidia wanandoa kuvuka salama kwenye misukosuko wanayopitia kama vile kutoelewana kwenye masuala ya fedha au ya kisheria, pia kwenye migogoro mikubwa kwenye uhusiano kama wivu, kuchepuka, na kudhibiti hasira.
Hata kama migogoro kwenye uhusiano inatofautiana sana, kuna ushauri mmoja ambao anapenda kuwashauri watu wanaokwenda kwake:
Tulia na umsikilize mwenzio kwanza
Wenza kuweza kusikilizana ni jambo la muhimu sana kwenye uhusiano. Kama mawasiliano kati yenu yanakuwa kama ni adhabu, kama vile kila mmoja anafanya jitihada za ziada au analazimisha ili asikilizwe, hakuna atakayeibuka mshindi kwenye hali kama hiyo.
“Raha ya uhusiano wa kimapenzi ni pale mwenza wako anapokujua zaidi ya wanavyokujua wengine,” amesema Sussman. “Kwahiyo, kama mpenzi wako hakufahamu vizuri, kama mpenzi wako hakubaliani na wewe, kama mpenzi wako anakukosoa, unaweza kujisikia mpweke na ukaogopa hatma ya mapenzi yenu.”
Sussman amesema kwamba ni bora kusubiri kidogo na utafakari jambo kabala ya kuamua kulizungumzia. Kama wanandoa watakuwa wanafokeana mara kwa mara kwa maneno makali bila hata kufikiria wanachosema, mawasiliano baina yao yanaweza kuisha kabisa. Lakini kama utatulia kidogo, kuuliza maswali, na ubaki wazi kwenye majibu yako ndipo unaweza kujua hasa tatizo lililopo.
“Watu kwenye uhusiano wana tabia ya kuingilia mwenzie anapoongea kwakuwa anahisi kwamba yeye ndiye anastahili kusikilizwa zaidi ya mwenzie anayeongea kwa wakati huo,” amesema Sussman.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: USHAURI WA MTAALAMU WA MAHUSIANO KWA WANANDOA
USHAURI WA MTAALAMU WA MAHUSIANO KWA WANANDOA
https://4.bp.blogspot.com/-4KEQxsa4m5Y/WYnGEaVaGqI/AAAAAAAAdUY/eixpv2ggB3oxOdkpPbr6y8JrXFKNSY_kACLcBGAs/s1600/o-OLDER-COUPLE-facebook-750x375.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-4KEQxsa4m5Y/WYnGEaVaGqI/AAAAAAAAdUY/eixpv2ggB3oxOdkpPbr6y8JrXFKNSY_kACLcBGAs/s72-c/o-OLDER-COUPLE-facebook-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/ushauri-wa-mtaalamu-wa-mahusiano-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/ushauri-wa-mtaalamu-wa-mahusiano-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy