UTAFITI: WANAFUNZI WA PHD WANAONGOZA KUUGUA AFYA YA AKILI

SHARE:

Wanafunzi wanaosoma taaluma mbalimbali katika ngazi ya PhD huwa na muda mwingi katika masomo, ambao huutumia kufanya tafiti za masomo ili...

Wanafunzi wanaosoma taaluma mbalimbali katika ngazi ya PhD huwa na muda mwingi katika masomo, ambao huutumia kufanya tafiti za masomo ili kuthibitisha kama unastahili kutunikiwa Shahada ya Udaktari (PhD).
Wanafunzi wa PhD. hukumbwa na vikwazo mbalimbali katika kipindi cha masomo kama msongo wa mawazo kutokana kutochapishwa kwa tafiti zao, pia tabia ya unyanyasaji au ukosefu wasimamizi ambao hawana uzoefu wa kutosha. Utafiti uliochapishwa katika jarida la Research Policy nchini Uingereza mwaka huu, unasema kuwa msongo wa mawazo unaweza kuwa na athari kwa akili ya wanafunzi wa PhD. Takribani theluthi moja (1/3) ya wanafunzi wanaosoma PhD. wapo katika hatari ya kupata matatizo ya akili.
Uchunguzi ulifanywa kwa wanafunzi 3,659 kutoka vyuo vikuu huko Flanders, Ubelgiji, kwa wanafunzi wa masomo ya Sayansi au Humanities. Hata hivyo, matokeo ya uchunguzi huo yalionesha jinsi taaluma inavyoathiri afya ya akili.
Asilimia 51 ya watu waliofanyiwa utafiti walingundulika kuwa na dalili aina mbili za matatizo ya akili, huku asilimia 32 waliripotiwa kuwa na dalili aina nne. Kiwango hicho kilikuwa cha juu mara mbili zaidi ya idadi ya watu wenye elimu ya juu.
Baadhi ya dalili za kawaida ambazo wanafunzi waliripoti kuwa nazo ni pamoja kupoteza usingizi kutokana na hofu au wasiwasi na kutoweza kufurahia shughuli zao za kila siku. Watafiti pia waligundua kuwa jambo kubwa linalosababisha matatizo ya akili ilikuwa ni kushindwa kutimiza mahitaji ya familia kutokana na kazi nyingi, uhitaji mkubwa wa masomo ya PhD na kushindwa kudhibiti kazi wanazopewa.
Mwanafunzi wa PhD kutoka chuo cha Imperial nchini Uingereza, Claire anasema kusoma katika ngazi ya Uzamivu kuna uwezekano wa kuathiri afya ya akili ya mtu. Anasema baadhi ya marafiki zake walifikiria kuacha kuendelea na chuo katikati ya masomo yao.
Claire anaelezea kuwa alianza kusikia maumivu ya mwili, mafua makali na homa. Hata hivyo, vipimo vya damu vilionesha kuwa hakuna tatizo lolote, ingawa madaktari walimwambia hali kama hiyo inawezekana inahusiana na msongo wa mawazo. Hata hivyo, anasema kuwa si kila mtu anayesomea PhD anaelewana na msimamizi wake, ukweli ni kwamba, baadhi ya wasimamizi hawana msaada na manufaa, bali hudharau wanafunzi.
Ripoti ya Research Policy inasema mfumo wa wasimamizi kwa wanafunzi wa PhD ulionekana ni jambo linalochangia matatizo ya akili kwa wanafunzi. Research Policy wanapendekeza kuwa vyuo vikuu viongeze juhudi zao katika kufuatilia wanafunzi wenye matatizo akili na kuongeza mbinu za usimamizi na kutambua kwa ujumla hatari na sababu za msingi.
Naye Nathan Vanderford, mwalimu msaidizi katika Chuo Kikuu cha Kentucky nchini Uingereza, ambaye pia ni mtalaamu wa afya ya akili kwa wasomi, anasema tafiti hiyo inaonesha namna mazingira ya kazi kwenye taaluma inavyochangia utulivu au matatizo ya akili kwa wanafunzi wa PhD.
HT @ MTANZANIA

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UTAFITI: WANAFUNZI WA PHD WANAONGOZA KUUGUA AFYA YA AKILI
UTAFITI: WANAFUNZI WA PHD WANAONGOZA KUUGUA AFYA YA AKILI
https://1.bp.blogspot.com/-aIDascHEVtE/WZg3SMpXLJI/AAAAAAAAdyk/lX-MrbuCtoEoqztDD_EYUBjUUJ5_dJvogCLcBGAs/s1600/xgrad_school_overwhelmed-624x416-624x375.jpg.pagespeed.ic.mKfLP5UWCn.webp
https://1.bp.blogspot.com/-aIDascHEVtE/WZg3SMpXLJI/AAAAAAAAdyk/lX-MrbuCtoEoqztDD_EYUBjUUJ5_dJvogCLcBGAs/s72-c/xgrad_school_overwhelmed-624x416-624x375.jpg.pagespeed.ic.mKfLP5UWCn.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/utafiti-wanafunzi-wa-phd-wanaongoza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/utafiti-wanafunzi-wa-phd-wanaongoza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy