UTAJIRI WA BILIONEA DANGOTE WAPOROMOKA ZAIDI YA NUSU

SHARE:

Aliko Dangote ana utajiri wa dola za Marekani bilioni 12.2 (trilioni 27), ambaye utajiri wake ni takriban asilimia 3 ya pato la Taifa la ...

Aliko Dangote ana utajiri wa dola za Marekani bilioni 12.2 (trilioni 27), ambaye utajiri wake ni takriban asilimia 3 ya pato la Taifa la Naijeria, unamfanya awe mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa urahisi — na ndio bilionea mweusi aliye juu zaidi kwenye orodha ya watu matajiri duniani.
Hii ni taarifa nzuri, lakini hii ni nusu tu ya utajiri aliokuwa nao Dangote mwaka 2014 ambapo hadi mwaka huo ulipoisha, Dangote alikuwa na utajiri wa dola za Marekani bilioni 25 (trilioni 56).
Sehemu kubwa ya utajiri wake (asilimia 90) inatoka kwenye viwanda vyake vya kutengeneza saruji (Dangote Cement), kampuni iliyoorodheshwa kwenye Soko la Hisa nchini Naijeria yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 11, sawa na trilioni 24.
Biashara za bilionea Dangote zimesambaa kwenye nchi kadhaa barani Afrika. Anamiliki viwanda vya kutengeneza saruji nchini Zambia, Senegal, Tanzania, na Afrika Kusini.
Dangote, ambaye amekuwa Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa kundi la kampuni za Dangote kwa zaidi ya miaka 35 sasa pia ni mtu anayetoa misaada ya kibinadamu. Akiwa ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Misaadaya ya Dangote, anasimamia misaada katika elimu, kilimo na afya ikiwamo msaada wa dola za Marekani 12,000 (takriban shilingi nilioni 27) kwa siku kwa watu wanaokosa huduma muhimu.
“Aliko ni tajiri namba moja barani Afrika, na biashara zake zinachangia kukuza uchumi wa bara zima. Hilo ni jambo zuri, lakini namtambua zaidi kama kiongozi ambaye yupo mstari wa mbele kupunguza tofauti kati ya biashara za watu binafsi na sekta ya afya ya jamii nzima,” aliandika bilionea namba moja duniani, Bill Gates. Bilionea huyo kwenye sekta ya teknolojia almemsifu Dangote kwa mafanikio makubwa aliyochangia kuitoa Naijeria kutoka kwenye orodha ya dunia ya nchi zenye magonjwa ya milipuko kwa juhudi zake za kupambana kutokomeza ugonjwa wa polio.
Mwezi Januari 2016, Dangote na Bill Gates walitoa ahadi ya kutoa dola milioni 100 ili kutokomeza utapiamlo nchini Naijeria, nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UTAJIRI WA BILIONEA DANGOTE WAPOROMOKA ZAIDI YA NUSU
UTAJIRI WA BILIONEA DANGOTE WAPOROMOKA ZAIDI YA NUSU
https://1.bp.blogspot.com/-Sxz0vFBIWq0/WZVNExBEtHI/AAAAAAAAdlo/W-MSdQ5drFMesdBWXnrgsKf9ZIHp5WZXwCLcBGAs/s1600/Aliko-Dangote1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-Sxz0vFBIWq0/WZVNExBEtHI/AAAAAAAAdlo/W-MSdQ5drFMesdBWXnrgsKf9ZIHp5WZXwCLcBGAs/s72-c/Aliko-Dangote1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/utajiri-wa-bilionea-dangote-waporomoka.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/utajiri-wa-bilionea-dangote-waporomoka.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy