VIDEO : HII NDIO NGOMA YA ALIKIBA INAYOFUATA BAADA YA SECUDE ME

Beingaidancharlie ni moja ya watu wa karibu wa msanii Alikiba, kwenye ukurasa wake wa Instagram ameandika yafuatayo ambayo yanashabihiana na ujio mpya wa ngoma ya Alikiba baada ya Seduce Me kufanya poa na kufikisha views Milioni moja kwa masaa 38 na kuvunja rekodi ya video zilizotazamwa zaidi Kenya na Tanzania.

Ameandika haya.
Habari nyingine ni kwamba inayofuatia imeisha rasmi leo! Bampa 2 Bampa mpaka tunaufunga mwaka!
#StarterImeshaletaSheeda

#MsosiKamiliUnakujaSoon

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post