VIDEO: ZARI NA WEMA KATIKA NGOMA MPYA YA ROSTAM (ROMA NA STAMINA)- HIVI AMA VILE

Baada ya kuachia video yake mwenyewe hivi karibuni, Roma mkatoliki ameachia video ya wimbo wake mwingine pamoja na Stamina.
Wasanii hawa wanaofahamika kama watani wa jadi hujiita Rostam yani muunganiko wa majina ya Roma na Stamina. Wimbo huu unakwenda kwa jina la Hivi Ama Vile. Utazame hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post