WAZIRI MWIJAGE AJITETEA BAADA YA RAIS KUSEMA HARIDHISHWI NA UTENDAJI WAKE

SHARE:

Akiwa mkoani Tanga jana Agosti 6 Rais Magufuli  alitoa kauli ya kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Wizara ya Viwanda, Biashara na ...

Akiwa mkoani Tanga jana Agosti 6 Rais Magufuli  alitoa kauli ya kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji dhidi ya watu waliouziwa viwanda na kuvitelekeza ambapo alimtaka Waziri Mwijage kuwanyang’anya na kuwapatia wawekezaji watao viendeleza.
Leo August 7, 2017 Waziri wa Viwanda Charles Mwijage amehojiwa kwenye Clouds 360 Clouds TV na kuelezea kuhusu hiyo kauli ya rais na kutoa hizi kauli.
”Kujenga viwanda sio mchezo, yapo maelekezo ya Rais viwanda vilivyo binafsishwa na havitumiki virudishwe, Rais alichokitegemea kwangu sio kile anachokiona sababu viwanda haviendi kwa kasi anayoiona na hii kuna sababu kadhaa.
“Hii sekta ya viwanda ni multi-sector maana kuna viwanda vipo chini ya Wizara ya Mifugo, vingine maliasili…. kuna viwanda vimechukuliwa lakini havipo kwenye orodha ya viwanda vilivyobinafsishwa, nahitaji Wakuu wa mikoa waingie hapa.
“Kuna watu wengine wameingia kwenye sekta ya viwanda lakini hawajui shughuli yake wengi wanang’ang’ania faida tu…. moja ya masharti ya viwanda watu walitakiwa kuviendeleza lakini kuanzia Ijumaa mimi nitaanza kutenda bila kuwa na maneno.
“Suala la kiwanda cha Mang’ula tayari mgogoro wake umefika Bungeni na mmiliki wake tayari ameitwa Bungeni kuhojiwa, kiwanda cha matairi Arusha tumekiongezea nguvu lakini tunahitaji muwekezaji ataekuwa na nguvu zaidi kwenye uzalishaji.
“Kiwanda cha General Tyre kina historia kubwa zaidi kilikuwa cha jumuiya ya Afrika Mashariki lakini sasa ni mali yetu, siwezi kumsemea Mh Rais najua ana imani na mimi sana ndio maana nilimuomba asinikumbushe tena siku nyingine.
“Anayetaka kujua viwanda vingapi vipo mkoa wa Pwani aanzie mkuranga mpaka zegereni kuna zaidi ya viwanda 20 hapo, kiwanda cha Mgololo mufindi kinafanya kazi lakini kuna baadhi ya shughuli nyingine za uzalishaji zinaendelea nje ya nchi.”  Amesema Waziri  Mwijage

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI MWIJAGE AJITETEA BAADA YA RAIS KUSEMA HARIDHISHWI NA UTENDAJI WAKE
WAZIRI MWIJAGE AJITETEA BAADA YA RAIS KUSEMA HARIDHISHWI NA UTENDAJI WAKE
https://1.bp.blogspot.com/-RM3jvq3XNnY/WYnGSxItUuI/AAAAAAAAdUc/5Dx_LzQIRsofhSvV_mO7zThmFldI9affgCLcBGAs/s1600/xDSC_0409-640x375.jpg.pagespeed.ic.t4KiU_yXiN.webp
https://1.bp.blogspot.com/-RM3jvq3XNnY/WYnGSxItUuI/AAAAAAAAdUc/5Dx_LzQIRsofhSvV_mO7zThmFldI9affgCLcBGAs/s72-c/xDSC_0409-640x375.jpg.pagespeed.ic.t4KiU_yXiN.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/waziri-mwijage-ajitetea-baada-ya-rais.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/waziri-mwijage-ajitetea-baada-ya-rais.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy