WIZARA ZAUNGANA KUDHIBITI UHALIFU BARABARANI KWA KUTUMIA KAMERA

SHARE:

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa)   na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na ...

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa)   na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Gillard Ngewe ,walipotembelea kituo cha kufuatilia mwenendo wa mabasi, kilichopo jijini Dar es Salaam,  ikiwa katika Mpango wa Wizara hizo kushirikiana katika kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mtaalamu wa Mifumo ya Komputa kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Godfrey Nsato, akifafanua jinsi Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi unavyofanya kazi kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa) na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, walipotembelea Kituo cha Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi,kilichopo jijini Dar es Salaam, ikiwa katika Mpango wa Wizara hizo kushirikiana katika kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu.
 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kutembelea Kituo cha   Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi, kilichopo  jijini Dar es Salaam, ikiwa katika Mpango wa Wizara hiyo kushirikiana na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu.
 Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kutembelea Kituo cha Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi, kilichopo   jijini Dar es Salaam, ikiwa katika Mpango wa Wizara hiyo kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu.
 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu  kulia),Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Mhandisi Edwin Ngonyani(wapili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, baada ya kumaliza kutembelea Kituo cha   Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi,kilichopo  jijini Dar es Salaam.Wengine waliokaa Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa SUMATRA, Hilda Gondwe na Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA),Gillard Ngewe.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Gillard Ngewe (Kushoto), baada ya kumaliza ziara ya kutembelea Kituo cha Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi, kilichopo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano   Mhandisi Edwin Ngonyani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 
 
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WIZARA ZAUNGANA KUDHIBITI UHALIFU BARABARANI KWA KUTUMIA KAMERA
WIZARA ZAUNGANA KUDHIBITI UHALIFU BARABARANI KWA KUTUMIA KAMERA
https://2.bp.blogspot.com/-c726HWhb2A4/WZwMdj5KrnI/AAAAAAAAd34/O0co3irGo0wQl9gTkt6zK6NrO01U5PKWQCLcBGAs/s1600/PIX%2B1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-c726HWhb2A4/WZwMdj5KrnI/AAAAAAAAd34/O0co3irGo0wQl9gTkt6zK6NrO01U5PKWQCLcBGAs/s72-c/PIX%2B1.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/wizara-zaungana-kudhibiti-uhalifu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/wizara-zaungana-kudhibiti-uhalifu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy