YASOME MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU TFF YALIYOTANGAZWA

SHARE:

Muda mfupi uliopita, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini, wakili Revocatus Kuuli ametangaza matokeo y...

Muda mfupi uliopita, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini, wakili Revocatus Kuuli ametangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hosteli za Chuo cha Mtakatifu Gasper mjini Dodoma.
Revocatus Kuuli wakati akitangaza matokeo ya nafasi ya urais wa TFF amesema kwamba jumla ya kura zilizopigwa ni 128 ambapo kura halali ni 125 na kura zilizoharibika ni 3.
Katika kura hizo 125, Wakili kuuli alimtangaza Rais mpya wa Shirikisho hilo kuwa ni Wallace Karia ambaye ameshinda nafasi hiyo kwa jumla ya kura 95 kati ya kura halali 125 zilizopigwa. Wagombea wengine wa Urais pamoja na kura walizopata kwenye mabano ni Ally Mayay Tembele (9), Shija Richard (9), Iman Madega (8), Frederick Mwakalebela (3) na Emmanuel Kimbe (1). Ndugu Michael Wambura amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo.
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji walioshinda kwenye uchaguzi wa leo pamoja na Kanda wanazoziwakilisha kwenye mabano ni kama ifuatavyo:
Mohamed Abeid (Dodoma na Singida), Mbasha Matutu (Shinyanga na Simiyu), Sarah Chao (Arusha na Manyara), Dustan Ditopile (Lindi na Mtwara), Elias Mwanjala (Mbeya na Iringa), Francis (Pwani na Morogoro), Vedastus Lufano (Mara na Mwanza), Lameck Nyangaya (Dar es salaam), Kenneth Pesambili (Rukwa na Katavi), Khalid Mohamed (Kilimanjaro na Tanga), Issa Mrisho (Kigoma na Tabora) na James Patrick (Njombe
Rais wa Shirikisho hilo, Wallace Karia, Makamu wa Rais, Michael Richard Wambura pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji waliochaguliwa wameapishwa leo mjini Dodoma muda mfupi baada ya matokeo ya ushindi wao katika uchaguzi huo kutangazwa.
Akitoa hotuba yake muda mfupi baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Shirikisho hilo (Wallace Karia) amesema kuwa amepigiwa simu na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad na wote wamelipongeza Shirikisho hilo kwa uamuzi ulioufanya na kuutakia uongozi mpya mafanikio mema.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: YASOME MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU TFF YALIYOTANGAZWA
YASOME MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU TFF YALIYOTANGAZWA
https://4.bp.blogspot.com/-PwYm8_GOCbM/WY_pU9r3mAI/AAAAAAAAddE/AOIqxTG2aNEwAh1Aoxd54UHjw4O2cNCpACLcBGAs/s1600/xwallace-karia-salehjembe-640x375.jpg.pagespeed.ic.2zRVr7m--4.webp
https://4.bp.blogspot.com/-PwYm8_GOCbM/WY_pU9r3mAI/AAAAAAAAddE/AOIqxTG2aNEwAh1Aoxd54UHjw4O2cNCpACLcBGAs/s72-c/xwallace-karia-salehjembe-640x375.jpg.pagespeed.ic.2zRVr7m--4.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/08/yasome-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-tff.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/08/yasome-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-tff.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy