YOUNG DEE AOMBA RADHI BAADA YA KUSAMBAA PICHA TATA AKIWA NA AMBER LULU

Rapper Young Dee ameomba radhi baada ya picha tata akiwa na Amber Lulu kusambaa mtandaoni. Kwenye picha hiyo, Young anaonekana akikodolea macho makalio ya video vixen huyo aliyegeukia muziki. Amber yuko nusu utupu.
Kupitia Instagram, Young Dee ameandika:
Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa behind the scene lengo haswa la photoshoot ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki”Scortish” kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! Na kwa mashabiki wote!๐Ÿ˜’ So sad!
Pamoja na kuomba radhi, bado mashabiki wanamshambulia rapper huyo kwa vazi hilo lenye sketi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post