AC MILANI YAANZA KWA MAUAJI LIGI YA UROPA HUKU SILVA AKIFUNGA HAT TRICK

Andre Silva amefunga magoli matatu yaani hat-trick wakati AC Milan ikianza kwa kishindo mechi yao ya kwanza ya Ligi ya Uropa kwa kuichakaza Austria Vienna magoli 5-1.

Silva alisajiliwa kutoka Porto kwa dau la paundi milioni 34 na Milan, ambayo inashirikia Ligi ya Uropa kwa mara ya kwanza tangu miaka minne kupita.

Klabu hiyo ya Italia imetumia kitita cha paundi milioni 170 katika usajili uliomalizika, ikiwemu mchezaji mpya Calhanoglu aliyefunga goli la kwanza na Suso kufunga la tano.

           Mfungaji wa magoli matatu hat-trick, Andre Silva akifunga moja ya magoli yake
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post