Acha janja janja piga busu namna hii,usikosee

SHARE:

Jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti na badala yake busu kimahaba…..Zotekali na ...

Jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti na badala yake busu kimahaba…..Zotekali na mahusiano leo inakupa darsa maridhawa kabisa kuhusu hot kiss twende sawa sasa

1.Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu…..kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3

2.Inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…

3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.

Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu katika mtindo wa kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama…ni mumo kwa mumo)alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu…..

Ongeza ujuzi wako sasa…na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio unampumulia mwenzio mdomoni….(atashiba hewa) au unabana pumzi (Mauti inakukumba). Unaweza kufumba macho au kukodoa….inategema na wakati wenyewe.

Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako lakini busu zote zinahusisha ulimi na mate.

Unaweza ukapewa busu wewe ukadhani ni kawaida (kama hujui) lakini mwenzio anakwambia amechoka, anakupenda, anashukuru, amefurahi kukuona, hataki kungonoana siku/wakati huo, hana raha/hujamfurahisha, anataka kuwa peke yake, anamachungu, yuko busy n.k.

Niachie maoni yako hapo kwenye sanduku langu la maoni kuhusu mada yetu hii

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Acha janja janja piga busu namna hii,usikosee
Acha janja janja piga busu namna hii,usikosee
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/katrina-hrithik11.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/acha-janja-janja-piga-busu-namna.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/acha-janja-janja-piga-busu-namna.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy