AINA MBILI ZA WANAUME AMBAZO WANAWAKE WANAPASWA KUZIFAHAMU

SHARE:

Unapotaka kuanza uhusiano na mtu, unahitaji kuwa makini kuhakikisha kuwa mtu huyo atakuwa sahihi kwako na sio mnaanzisha uhusiano kisha b...

Unapotaka kuanza uhusiano na mtu, unahitaji kuwa makini kuhakikisha kuwa mtu huyo atakuwa sahihi kwako na sio mnaanzisha uhusiano kisha baada ya muda mfupi mnaachana.
Kwa upande wa wanawake, kuna wanaume wa aina mbili ambao unatakiwa kuwajua kabla ya kufanya maamuzi ya kuwa nae katika uhusiano. Kuna yule atakayesema kitu akimaanisha lakini kuna mwingine atasema ili tu kukuridhisha kwa wakati huo afanikishe haja ya moyo wake.
Hapa chini ni aina za wanaume ambazo unatakiwa kuzifahamu;
Mwanaume wa kwanza atakwambia anakupenda kwa sababu anataka kulala na wewe na kisha kwenda kwa mwingine lakini kuna mwanaume atakayekwambia anakupenda akimaanisha akisemacho na kwamba anakuhitaji katika maisha yake ya sasa na ya baadae.
Kuna mwanaume atakayekufanya wewe pekee ujisikie maalumu na muhimu katika maisha yake, lakini kwa upande mwingine, kuna mwanaume atakaye kufanya wewe pamoja na wengi mjisikie wa muhimu huku akihakikisha hamjuani..
Mwanaume mmoja itamchukua muda bila kusema kuwa ninyi wawili mnafaa kuwa wachumba na hata kufunga ndoa kwa sababu anataka kuhakikisha hamfanyi makosa katika uamuzi huo, lakini mwanaume mwingine atakuwa tayari kukwambia atakuoa hata ukimuuliza siku mbili baada ya kukutana naye, kwa sababu anataka kukudanganya umuamini.
Upande mmoja kuna mwanaume atakayekuwa mtoto wa mama ambaye atakuwa anamsikiliza mama yake kwenye kila kitu, wakati upande mwingine kuna mwanaume atakayekuwa akimuheshimu mama yake lakini atasikilizana na mkewe pia.
Kuna mwanaume atakayekuwa hapendezwi na wewe na kila mara atakuwa akikusema kwa sauti kana kwamba anakukaripia hata kama mnazungumza kitu cha kawaida, wakati mwingine atakuwa akizungumza kwa upole na kwa fahari akifurahia kuwa mpenzi wako.
Kuna mwanaume atakayekuwa mcha Mungu na uhusiano wenu ataujenga katika misingi ambayo itampendeza Mungu, lakini mwingine ataonyesha kuwa anamcha Mungu ili tu akupate wewe kwa sababu anajua kwamba unataka mtu anayemcha Mungu, na baada ya kukupata wewe ndio tabia zake za kweli zitajidhihirisha.
Mwanaume wa kwanza atafanya uhusiano wenu kuwa siri kubwa, hatotaka kuambatana na wewe, hatokutambulisha kwa ndugu, jamaa wala marafiki zake, wakati mwanaume wa upande wa pili atajisikia fahari kuwa na wewe, atakutambulisha kwa ndugu zake wakujue, atatunza siri zako na kuhakikisha uhusiano wenu unazidi kuchanua.
Kuna mwanaume atakuja katika maisha yako kukupotezea muda, kukupa msongo wa mawazo, kukuharibia ndoto zako, kukukatisha tamaa wakati mwanaume mwingine akija katika maisha yako atakuja kukusaidia, kukutia moyo, kukuwezesha kupiga hatua zaidi hadi ufanikiwe kwani anaamini mafanikio yako ni yenu sote.
Mwanaume anaweza akaja kwenye maisha yako kwa ajili ya kulala na wewe tu akaishia hapo wakati unaweza kupata mwanaume ambaye atakuja kwenye maisha yako na kuwa mume, awe mwaminifu kwako na kupata watoto.
Mwanaume mmoja anaweza akawa ni kosa a muda mfupi ambalo litakusababishia maumivu ya kudumu wakati mwanaume mwingine anaweza akawa ni baraka ya kudumu ambayo itaathiri maisha yako kwa njia salama.
Ni vyema ukawafahamu kwa makini na undani kabla ya kuamua kiongia katika uhusuano.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: AINA MBILI ZA WANAUME AMBAZO WANAWAKE WANAPASWA KUZIFAHAMU
AINA MBILI ZA WANAUME AMBAZO WANAWAKE WANAPASWA KUZIFAHAMU
https://1.bp.blogspot.com/-zYIBZKks9nc/WbV9WJBKihI/AAAAAAAAei8/0tUBD7GnZy8mAhZWsj9QtLtqZipYKR-8QCLcBGAs/s1600/x042514-Health-Happy-Couples-Cuddle-at-Night-750x375.png.pagespeed.ic.iew15R4_yX.webp
https://1.bp.blogspot.com/-zYIBZKks9nc/WbV9WJBKihI/AAAAAAAAei8/0tUBD7GnZy8mAhZWsj9QtLtqZipYKR-8QCLcBGAs/s72-c/x042514-Health-Happy-Couples-Cuddle-at-Night-750x375.png.pagespeed.ic.iew15R4_yX.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/aina-mbili-za-wanaume-ambazo-wanawake.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/aina-mbili-za-wanaume-ambazo-wanawake.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy