ARSENAL YAFANIKIWA KUPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Danny Welbeck amefunga magoli mawili wakati Arsenal ikirejesha makali yake ya ushindi na kuifanya Bournemouth kuendelea kufungwa kwa mchezo wa nne wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Arsenal wakiwa wameshafungwa na Stoke City na Liverpool, walianza vyema mchezo wao huo kwa kupata goli la kichwa lililofungwa na Danny Welbeck ndani ya dakika sita.

Mchezaji aliyesainiwa kwa kitita kinono Arsenal Mfaransa Alexandre Lacazette aliongeza goli la pili la Arsenal katika dakika ya kisha Welbeck akatupia goli la tatu.
                               Danny Welbeck akiupiga mpira kwa kichwa na kufunga goli la kwanza
               Mshambuliaji mpya wa Arsenal Alexandre Lacazette akifunga goli la pili la Arsenal
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post