ARSENE WENGER ASEMA KYLIAN MAPPE NI PELE MPYA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amemuelezea kinda machachari wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe kama Pele mpya.

Akiongea na beIN SPORTS, kocha Wenger amedai kuwa Mbappe mwenye miaka 18 anaweza kuja kuwa mchezaji bora duniani.

Mbappe aliyejiunga na PSG kwa mkopo akitokea Monaco alifunga goli lake la kwanza Ijumaa, ambapo anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa dau la paundi milioni 166 katika usajili wa majira ya joto.
    Kylian Mbappe akipongezwa na Neymar baada ya kufunga goli lake la kwanza akiwa na PSG
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post