ASHAROSE MIGIRO AULA TENA UN

SHARE:

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Dk Asha-Rose Migiro. MWANADIPLOMASIA ambaye pia ni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Dk Asha-...

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Dk Asha-Rose Migiro.
MWANADIPLOMASIA ambaye pia ni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Dk Asha-Rose Migiro ameula tena katika Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) baada ya kuteuliwa kuwa mmoja kati ya jopo la wataalam 18 watakaokuwa na kazi ya kuhakikisha wanatumia uzoefu wao kukabiliana na changamoto ya migogoro duniani kwa njia ya kidiplomasia.


Kwa mujibu wa habari zilizosambazwa jana kwenye vyombo vya habari, Dk Migiro aliteuliwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres na hatua hiyo imeelezwa kuwa ni uthibitisho mwingine wa namna Tanzania ilivyo mshiriki muhimu katika kusaka amani duniani.

Jopo hilo ambalo linafahamika kama Bodi ya Ngazi ya Juu ya Ushauri Kuhusu Usuluhishi, limeundwa kwa kuzingatia usawa wa kijinsia na uwakilishi wa kikanda. Pia likizingatia historia ya wahusika katika masuala ya kidiplomasia na utatuaji wa migogoro.


Mbali na Dk Migiro aliyewahi pia kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, wengine walioteuliwa ni aliyekuwa Mke wa Rais wa Msumbiji na baadaye akaolewa na Rais Nelson Mandela wa Afrika Kusini, Graca Machel, Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo, Rais wa zamani wa Chile, Michelle Bachallete na Rais Mstaafu wa Finland, Tarja Halonen.Pia wamo wanadiplomasia, mawaziri wa zamani, watu waliowahi kuongoza taasisi za kimataifa na wengine mashuhuri. Jopo hilo, pamoja na kazi nyingine, litakuwa na jukumu la kumshauri Katibu Mkuu wa UN kuhusu njia zinazopaswa kuzuia migogoro na kushiriki kutatua mizozo katika maeneo yanayokumbwa na hali hiyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ASHAROSE MIGIRO AULA TENA UN
ASHAROSE MIGIRO AULA TENA UN
https://3.bp.blogspot.com/-11-dRyct8eM/WcSzw0hzKwI/AAAAAAAAfFA/Np7Dd8SmhSYKM6EJbPzSCblFSq0XMP1FQCLcBGAs/s1600/502953-ashrosemigiro.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-11-dRyct8eM/WcSzw0hzKwI/AAAAAAAAfFA/Np7Dd8SmhSYKM6EJbPzSCblFSq0XMP1FQCLcBGAs/s72-c/502953-ashrosemigiro.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/asharose-migiro-aula-tena-un.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/asharose-migiro-aula-tena-un.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy