ASLAY: SISHUKI KIMUZIKI NG’O!

SHARE:

Mwanamuziki  wa  Bongo Fleva  anayeongoza kwa kupachikwa majina mbalimbali na kufananishwa na wasanii wakubwa kimataifa akiwemo  Chris Br...

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayeongoza kwa kupachikwa majina mbalimbali na kufananishwa na wasanii wakubwa kimataifa akiwemo Chris Brown, Aslay Isihaka ‘Fundi’, amesema kuwa baada ya kundi lao la Yamoto Band kuvunjika, yeye anaendelea vizuri na kazi zake wala hamna anachokikosa kwa sababu wakati anaanza hakuwa na kundi.
Aslay ambaye kwa sasa anatamba na ngoma zisizohesabika kama vile, Likizo, Baby, Pusha, Nyakunyaku, Mhudumu na nyingine nyingi, alisema kuwa:
“Nilianza muziki nikiwa peke yangu na nilikuwa mdogo kiumri, enzi zile za ‘Naenda Kusema kwa Mama’, ila niliweza kufanya vizuri, kwa hiyo kuingia kwenye kundi na kutoka sioni kama nitashindwa kuendeleza muziki wangu.
“Kwa sababu naona ni kama zamani tu, ndiyo maana nafanya vizuri, naachia ngoma kila kukicha, na ngoma zangu kali na zinapendwa, mashabiki hawawezi kuzichoka kwa sababu mimi ni mwanamuziki mzuri, najua nini ninachokifanya, na sitegemei kushuka kimuziki.”
Aslay ni mmoja kati ya wanamuziki waliokuwa wakiunda kundi la Yamoto Band, kundi ambalo lilifanya vizuri sana ndani na nje ya nchi, kupitia nyimbo zao kali kama Nitakupwelepeta, Cheza kwa Madoido, Niseme Nisiseme na Su waliyomshirikisha mwanadada Ruby.

Kundi La Yamoto Band
Wasanii wengine waliyokuwa wakiunda kundi hilo ni Enock Bela ‘The Base’, Maromboso na Beka Flavour.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ASLAY: SISHUKI KIMUZIKI NG’O!
ASLAY: SISHUKI KIMUZIKI NG’O!
https://2.bp.blogspot.com/-M2QcuchtFGY/WcE8nHMx7BI/AAAAAAAAe8Y/3x9u0vZFyIkzF26hkwgGjbdfK9MWGcyBgCLcBGAs/s1600/ASLAAAAAAAAAAAAAAAAY.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-M2QcuchtFGY/WcE8nHMx7BI/AAAAAAAAe8Y/3x9u0vZFyIkzF26hkwgGjbdfK9MWGcyBgCLcBGAs/s72-c/ASLAAAAAAAAAAAAAAAAY.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/aslay-sishuki-kimuziki-ngo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/aslay-sishuki-kimuziki-ngo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy