Avuliwa taji la U-Miss kwa kufananisha damu yake ya hedhi na watu waliokufa kwenye machafuko

SHARE:

Mshindi wa taji la ulimbwende nchini Uturuki 2017,  Itir Esen amepokonywa taji hilo siku mbili baada ya kukabidhiwa kutokana na mojawapo ya ...

Mshindi wa taji la ulimbwende nchini Uturuki 2017,  Itir Esen amepokonywa taji hilo siku mbili baada ya kukabidhiwa kutokana na mojawapo ya machapisho yake ya mtandao wa Twitter akifananisha damu ya hedhi yake na damu ya watu waliokufa kwenye machafuko ya jaribio la mapinduzi nchini humo mwaka jana.

Aliyevuliwa U-Miss Uturuki 2017, Itir Esen .
Kwenye moja ya Tweets zake, Itir Esen (18) alifananisha tukio la jaribio la mapinduzi mwaka jana nchini Uturuki lililoua watu takribani 300 kuwa damu yao iliyomwagika na yeye anasherehekea kwa kuvuja damu ili kuwaenzi.

Nimepata hedhi yangu asubuhi ya leo kusherehekea watu waliopoteza maisha yao mnamo tarehe 15 mwezi Julai, Ninasherehekea siku hiyo kwa kuvuja damu ya watu waliopoteza maisha yao.“ameandika Itir Esen kwenye moja ya Tweets zake.Waandalizi wa mashindano hayo wamesema kuwa chapisho hilo halikubaliki na kuthibitisha uamuzi wao wa kumpokonya taji hilo saa chache tu baada ya kupata ushindi.

Tweet hiyo ilichapishwa wakati wa maadhimisho ya mapinduzi hayo mnamo tarehe 16 mwezi Julai wakati ambapo takriban watu 250 walifariki wakikabiliana na jaribio hilo la mapinduzi lililotekelezwa na upande mmoja wa jeshi.

Hata hivyo tukio hilo sio la kwanza nchini humo kwani mwaka 2016, mshindi mwingine wa taji hilo la mwaka 2006, Bi Merve Buyuksarac alipewa hukumu ya jela ya miezi 14 na kupokonywa taji kwa kumtusi Rais wa Uturuki, Reccep Tayyip Erdogan katika shahiri la kejeli alilolichapisha katika mtandao wa Twitter.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekuwa akiwaita ‘mashahidi’ watu wote waliokufa wakati wa mapinduzi hayo.

Waandaji wa shindano hilo wanasema kuwa hawakuliona chapisho hilo hadi baada ya shindano hilo siku ya Alhamisi ya tarehe 21 Septemba mjini Instabul ambapo walifanya mkutano kujadili kabla ya kuapata uamuzi huo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Avuliwa taji la U-Miss kwa kufananisha damu yake ya hedhi na watu waliokufa kwenye machafuko
Avuliwa taji la U-Miss kwa kufananisha damu yake ya hedhi na watu waliokufa kwenye machafuko
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/DKeRuKsVoAAW57N.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/avuliwa-taji-la-u-miss-kwa-kufananisha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/avuliwa-taji-la-u-miss-kwa-kufananisha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy