Azam FC yatangaza mchezaji bora wa mwezi Agosti

SHARE:

Beki kisiki wa klabu bingwa ya Afrika Mashariki na kati Azam FC, Yakubu Mohammed, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa timu hiyo ijulikanayo kam...

Beki kisiki wa klabu bingwa ya Afrika Mashariki na kati Azam FC, Yakubu Mohammed, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa timu hiyo ijulikanayo kama (NMB Player Of The Month) mwezi Agosti mwaka huu.Mohammed anayeunda safu ya ulinzi ya Azam FC ambayo ndio pekee mpaka sasa haijaruhusu wavu wake kuguswa tokea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ilivyoanza Agosti 26 mwaka huu, ametwaa tuzo baada ya kupendekezwa na kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa soka kwenye mitandao ya kijamii ya timu hiyo.

Wachezaji wengine wa Azam FC wanaounda safu hiyo bora ya ulinzi ni beki, Agrey Moris, kipa Razak Abalora, Daniel Amoah na Bruce Kangwa huku wakishirikiana vema na safu imara ya kiungo chini ya Nahodha Himid Mao ‘Ninja’, Stephan Kingue, Frank Domayo na Salum Abubakar ‘Sure Boy’.

Tuzo hiyo inayotolewa na mdhamini mkuu wa Azam FC (NMB) itatolewa leo Jumapili kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Lipuli ya Iringa saa 1.00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Azam FC yatangaza mchezaji bora wa mwezi Agosti
Azam FC yatangaza mchezaji bora wa mwezi Agosti
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/gnb.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/azam-fc-yatangaza-mchezaji-bora-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/azam-fc-yatangaza-mchezaji-bora-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy