Azam FC yatangulia mapema Dodoma

SHARE:

Homa ya pambano kali la raundi ya 5 kati ya Singida United dhidi ya Azam fc limeifanya klabu ya Azam kuwahi mapema mjini Dodoma kujiandaa na...

Homa ya pambano kali la raundi ya 5 kati ya Singida United dhidi ya Azam fc limeifanya klabu ya Azam kuwahi mapema mjini Dodoma kujiandaa na mchezo huo wikiendi hii.Mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na kila mdau wa soka nchini kutokana na timu kutowahi kukutana awali hivyo kila timu itataka kuibuka na ushindi.

Sababu nyingine inayopelekea mchezo huo usubiriwe kwa hamu na kutabiriwa kuwa mgumu ni ukweli kwamba timu mojawapo itakayoshinda itafanikiwa kupanda juu ya msimamo wa ligi kuu kulingana na matokeo ya Yanga dhidi ya Mtibwa.

Kutokana na ugumu huo ndio ambao umemfanya nahodha wa timu ya Azam,Himid Mao kusema lengo la kuwahi mjini Dodoma ni kuzoea hali ya hewa pamoja na kuwa kamili kupambana na Singida United.

“Tumewasili mapema Dodoma ili tujipange vema na wapinzani wetu ambao hali ya hewa kwao ni nzuri zaidi ila kuwahi kwetu itakuwa na faida sana kuhakikisha tunaibuka na ushindi siku hiyo”alisema Mao

Kabla ya mchezo huo Azam ina pointi 10 sawa na Mtibwa Sugar wakati Singida United ni ya tatu kwenye msimamo huo ikiwa ni pointi 9.

Imeandikwa na Matereka Junior, Dodoma

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Azam FC yatangulia mapema Dodoma
Azam FC yatangulia mapema Dodoma
https://i1.wp.com/soka360.co.tz/wp-content/uploads/IMG_3651.jpg?resize=300%2C265
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/azam-fc-yatangulia-mapema-dodoma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/azam-fc-yatangulia-mapema-dodoma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy