Baada Tupac Chid Benz atangaza kolabo na Jay Z

SHARE:

Mwishoni mwa wiki iliyopita Chid Benz alishangaza watu kwa kudai amefanya kolabo na Tupac ambaye kwa sasa ni marehemu. Katika kutolea ufafan...

Mwishoni mwa wiki iliyopita Chid Benz alishangaza watu kwa kudai amefanya kolabo na Tupac ambaye kwa sasa ni marehemu. Katika kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo Chid kaibua lingine la kuwa na kolabo na Jay Z.Licha ya kuonekana kuzungumza katika hali ya utani kiasi katika mahojiano na FNL ya EATV, Chid alisema kauli ya mwanzo aliitoa kama utani ingawa watu wameichukulia tofauti na kuelezea katika uhalisia wa sasa ana kolabo na Jay Z, je watu wataichukulia kama mwanzo?, alihoji.

“Na hiyo ninayo CD home ipo kwa mama Benz nimeuchuna, nina kolabo na Jay Z nimefanya naye, Beyonce kapiga chorus lakini nataka nimtoe nimuweke pale hata Linah. So watu wanaosema nimelewa au natumia madawa now nina kolabo na Jay Z, ile nilikua natania tu,” amesema Chid Benz.

Katika hatua nyingine Chid alieleza kutofurahishwa na tweet ya msanii Madee kipindi ambacho suala lake lina-trend katika mitandao ya kijamii.

“Madee amejifanya kuposti pale ndio maana mimi sivuti hata sigara, sasa unaweza ukawa huvuti sigara lakini tukawa tunajua wewe ni mmbeya, mnafiki kwa sababu ndio tabia yake. Anaonyesha watu kuna kitu Chid anatumia, kwa hiyo ametengenezea ubaya Chid kadata, madawa yamempeleka pabaya,” ameongeza Chid.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Baada Tupac Chid Benz atangaza kolabo na Jay Z
Baada Tupac Chid Benz atangaza kolabo na Jay Z
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/20635182_1910421959276778_2260075528469872640_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/baada-tupac-chid-benz-atangaza-kolabo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/baada-tupac-chid-benz-atangaza-kolabo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy