Birthday ya Dj Choka kudondosha ngoma mpya

SHARE:

Dj mkongwe Bongo, Dj Choka amesema project yake mpya ‘Bila Sababu’ itatoka usiku wa kusherekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa, September 19. ...

Dj mkongwe Bongo, Dj Choka amesema project yake mpya ‘Bila Sababu’ itatoka usiku wa kusherekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa, September 19.Ujio wa project hii ni baada ya ukimya wa muda mrefu ambao ameeleza umesababishwa na kuugua baada ya kufanya vizuri na project tatu za awali.

Akizungumza na Daladala Beats ya Magic Fm Dj Choka amesema ngoma hiyo ambayo amefanya Izzo Bizzness itatoka usiku wa leo ifikapo saa sita usiku na baada ya hapo atawafahamisha mashabiki wake wapi itakapopatikana, kufanya media tour, utaratibu wa video na mengineyo.

Katika hatua nyingine Dj huyo ameeweka wazi mipango yake ya kazi itakavyokwenda kwa sasa.

“Kingine mashabiki inabidi wanivumilie tu kwa sababu sasa hivi naangali wale wasanii wapya wanaokuja, kwa hiyo nitakuwa naweka wale wakongwe na wapya, nitakuwa nachanganya,” amesema Dj Choka.

Dj Choka amekuwa akifanya project za kuwakutanisha wasanii mbali mbali katika ngoma moja ambapo alianza na ngoma ‘Pamoja We Can’ ambayo ilikutanisha wasanii kama Leo, Mabeste, Baghdad, Cyrill, Shetta, Noorah, Young Dee, Stereo na Dedd, kisha ‘Press Play’ ambayo alikuwepo M rap, Gosby, Vannesa Mdee, Mabeste na Deddy, na mwisho akatoa ‘Nitalala Uzeeni’ iliyowakutanisha Young Lunya, Country Boy, Climax Bibo na Bgwaya.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Birthday ya Dj Choka kudondosha ngoma mpya
Birthday ya Dj Choka kudondosha ngoma mpya
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/choka.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/birthday-ya-dj-choka-kudondosha-ngoma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/birthday-ya-dj-choka-kudondosha-ngoma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy