BREAKING: HII NDIYO TAREHE YA UCHAGUZI WA MARUDIO NCHINI KENYA

ume ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) imetangaza kuwa uchaguzi wa marudio nchini humo utafanyika Oktoba 17, 2017 baada uchaguzi wa awali ambao ulifanyika Agosti 8 mwaka huu kufutwa.
Uamuzi wa kurudiwa kwa uchaguzi nchini Kenya umefuatia maamuzi ya Mahakama ya Juu  kutangaza kwamba uchaguzi wa urais wa awali ulikuwa ni batili kutokana na kutofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na tume hiyo, inaeleza kuwa kufuatia kikao kulichofanyika leo, hiyo ndio itakuwa tarehe ya uchaguzi wa marudio na kwamba wagombea watakaokuwa katika karatasi ya kupigia kura watakuwa ni wawili tu ambao ni Rais Uhuru Kenyatta ambaye mgombea mwenza ni William Ruto na Raila Odinga ambaye mgombea mwenza ni Stephen Musyoka.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post