FAIZA HASIRA HASARA, JIFUNZE KUCHUNGA NA KUHIFADHI ULIMI WAKO!

SHARE:

TABIA  ya mwanamitindo maarufu hapa  Bongo, Faiza Ally,   ambaye ni mama wa watoto wawili,  Sasha  na  Lil Juniour , haijanifurahisha hat...

TABIA ya mwanamitindo maarufu hapa Bongo, Faiza Ally, ambaye ni mama wa watoto wawili, Sasha na LilJuniour, haijanifurahisha hata kidogo na kwa kuwa nina uwezo na nafasi ya kukemea, nimeona sina budi japo kukupa ushauri wa bure tu, kuufanyia kazi ni hiari yako.
Faiza, kwa nini unakubali kuufaidisha umma kwa kuyaanika mambo ya chumbani hadharani?, Umerogwa au ni kiki, ulimbukeni au ugumu wa maisha?. Unataka sifa mitandaoni, hujui unachokifanya, umeona hiyo ndiyo njia sahihi ya kudai haki yako, au ndiyo hizo unazoziita hasira?
Sitaki kujua matatizo yenu wewe na mzazi mwenziyo, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ambaye ni Mbunge wa Mbeya,hayo ni ya kwenu na mnatakiwa myamalize nyie wenyewe bila kudhalilishana. Kilichonishangaza ni njia ambayo unaitumia kudai haki yako, ambayo siyo sahihi kabisa na uache mara moja.
Kama Sugu hatoi huduma kwa mtoto wenu, zipo mamlaka husika kwa ajili ya kushughulikia mambo kama hayo. Kuanika migogoro yenu mitandaoni kunakusaidia nini, zaidi ya kujidhalilisha na kumdhalilisha baba mtoto wako, ambaye hata hii dunia ibadilike rangi haitabadilisha ukweli wa kwamba yeye ni baba mtoto wako.
Halafu mbona hueleweki? Juzi tu umesema Sugu akitaka mtoto mwingine utampatia, leo tena ujumbe wa matusi, mara unamuombea afe, ghafla awe maskini, hayo yote ya nini, yaani kweli unatamani Sasha abaki bila baba?
Inawezekana ni kweli una haki kwa madai yako, lakini kwa njia unayotumia hakuna atakayekuonea huruma wala kuamini kweli una haki, badala yake unaonekana mjinga kwa kushindwa tu kuhifadhi ulimi wako, na kutumia busara ambazo hazihitaji hata shahada kuwa nazo.
Sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, stara ya mavazi, ulimi na kila kitu, pia wanawake ni walimu wakubwa tunaotegemea wawape elimu watoto wao ambayo haina cheti wala ada, lakini elimu hiyo huwezi kuipata popote isipokuwa kwa mama tu.
Inapotokea muda wa kuwa mama umefika na ukawa mama kweli halafu huna sifa nilizozitaja hapo juu basi umekula hasara kubwa sana, na tegemea kizazi chako
pia kama siyo nusra ya Mungu basi kitafuata nyayo zako.
Inawezekana hujui madhara ya ulichokiandika, ila kwa faida yako na watoto wako wanaokua wakiona mienendo yako, unatakiwa kubadilika, usitukane hovyo kwa kigezo cha hasira. Kuna kesho ambayo ni fumbo, pigania haki ya mtoto wako kwa njia sahihi lazima utaipata.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FAIZA HASIRA HASARA, JIFUNZE KUCHUNGA NA KUHIFADHI ULIMI WAKO!
FAIZA HASIRA HASARA, JIFUNZE KUCHUNGA NA KUHIFADHI ULIMI WAKO!
https://4.bp.blogspot.com/-KfZSWCs6vkk/WcE7VKQw0WI/AAAAAAAAe8A/5PWrYDydzzYYYNgwDvU_2-_lB_CGgy5QwCLcBGAs/s1600/FAIZA-COVER-3.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-KfZSWCs6vkk/WcE7VKQw0WI/AAAAAAAAe8A/5PWrYDydzzYYYNgwDvU_2-_lB_CGgy5QwCLcBGAs/s72-c/FAIZA-COVER-3.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/faiza-hasira-hasara-jifunze-kuchunga-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/faiza-hasira-hasara-jifunze-kuchunga-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy