Fid Q aendelea kuipigia upatu Kitaaolojia, ‘ni albamu kali sana’

SHARE:

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q amedai albamu yake mpya ‘Kitaaolojia’ ina ngoma kali sana na pengine ngoma yake ya Ulimi Mbili akaw...

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q amedai albamu yake mpya ‘Kitaaolojia’ ina ngoma kali sana na pengine ngoma yake ya Ulimi Mbili akawa si kitu, si chochote.

Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Fresh’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa kinachompa jeuri ni kutokana na ngoma zote kukamilika ukilinganisha na Ulimi Mbili ambayo ilitoka bila kukamilika na watu wameipokea vizuri.

“Albamu ambayo imesubiriwa na watu lazima itoke kali, imechelewa lakini imetoka konki?  hicho ndio kitu kinanivuruga zaidi. Imetoka Ulimi Mbili haijafanyiwa mixing wala mastering ina sound vile, sasa pata picha hizo zilizokamilika zipoje?, amesema Fid Q.

“Nikumbushe tu Ulimi Mbili sio ngoma kali tu nilionayo pengine ndio inaweza kuwa ngoma mbovu katika stock nilionayo, sijisifii ila nina albamu kali sana,” ameongeza.

Kitaaolojia itakuwa albamu ya tatu kwa Fid Q baada ya kutoa Vina Mwanzo Kati Na Mwisho iliyokuwa ya kwanza na Propaganda.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Fid Q aendelea kuipigia upatu Kitaaolojia, ‘ni albamu kali sana’
Fid Q aendelea kuipigia upatu Kitaaolojia, ‘ni albamu kali sana’
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/21227747_1127819400682981_5839581408456081408_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/fid-q-aendelea-kuipigia-upatu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/fid-q-aendelea-kuipigia-upatu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy