HAYA NDIYO MAPATO YANAYOHUSISHWA KATIKA KUKOKOTOA KODI ITOKANAYO NA AJIRA (PAYE)

SHARE:

Kodi  inayotokana na Ajira inajulikana  kama  Lipa Kadiri Unavyopata (PAYE) . Hii ni kodi ya zuio kwa waajiriwa wanaotozwa kodi. Chini y...

Faida zinazohusishwa katika kukokotoa mapato kutoka katika ajira
Mapato ya ajira yanahusisha;
(a). Malipo ya ujira, mshahara, malipo ya likizo, ada, kamisheni, bonasi, kiinua mgongo au posho yoyote ya safari, burudani au malipo mengine yoyote yanayohusiana na ajira au huduma inayotolewa.
(b). Malipo yanayoonesha msamaha au marejesho ya matumizi ya mtu binafsi au mtu mwingine anayehusiana na mtu huyo.
(c). Malipo kwa mkataba wa mtu binafsi katika masharti yoyote ya ajira
(d). Michango na malipo ya kustaafu
(e). Malipo ya kupunguzwa, kupoteza au kufukuzwa kazi
(f). Malipo mengine yanayolipwa yanayohusiana na ajira ikiwa ni pamoja malipo yasiyokuwa ya fedha yanayopatikana kwa mujibu wa sheria
(g). Malipo mengine kama itakavyoonekana yanahitaji kuhusishwa
(h). Malipo ya mwaka anayolipwa mkurugenzi tofauti na malipo yake ya kawaida kama mkurugenzi 

 Mapato yasiyohusishwa katika kukokotoa kodi inayotokana na ajira
Mapato yafuatayo hayatahusishwa katika kukokotoa kodi inayotokana na ajira:
(a). Kiasi kilichosamehewa na malipo ya mwisho ya zuio;
(b). Huduma za kafeteria zinazotolewa bila ubaguzi;
(c). Huduma za afya, malipo ya huduma za afya na malipo ya bima kwa huduma za afya ikizingatiwa kwamba huduma au malipo hayo:
(i) Yanapatikana ili kukidhi matibabu ya mhusika, mwenza wake na hadi watoto wao wanne; na
(ii) yanawezeshwa kupatikana na mwajiri (na mtu yeyote anayehusiana na mwajiri anayeendesha biashara kama hiyo au inayohusiana na hiyo) katika misingi isiyo ya kiubaguzi;
(d) Posho yoyote ya kujikimu, safari, burudani au posho nyingine zinazohusisha urudishaji wa gharama kwa mnufaika kwa kiwango chochote alichotumia na kisichohusiana na uzalishaji wa kipato chake katika ajira au huduma inayotolewa;
(e) Faida inayotokana na matumizi ya chombo cha moto ambapo mwajiri hadai kufanya makato yoyote au nafuu kuhusiana na umiliki, matengenezo au uendeshaji wa chombo cha moto;
(f) Faida inayotokana na matumizi ya maeneo ya makazi kwa mwajiriwa wa serikali au taasisi nyingine ambayo bajeti yake haitokani na ruzuku inayotolewa na serikali;
(g) malipo ya safari kwa   mwajiriwa, mwenza wake, na hadi watoto wanne kwenda na kurudi eneo la kazi, yanayoendana na gharama halisi za usafiri ikiwa mwajiriwa anaishi zaidi ya maili 20 kutoka katika kituo chake cha kazi na ameajiriwa kutoa huduma kwa mwajiri katika eneo la kazi;
(h) Mchango na malipo ya kustaafu yanayosamehewa chini ya sheria ya Huduma za jamii za Mafao ya Kustaafu
(i) Malipo yasiyokuwa na sababu za msingi au yasiyotekelezeka kiutawala kwa mwajiri kuyajengea hoja au kuelekeza kwa wanufaika wao;
(j) Posho inayolipwa kwa mwajiriwa anayetoa huduma binafsi ndani ya taasisi kwa wagonjwa katika hospitali za umma; na
(k) Posho ya nyumba, usafiri, uwajibikaji, kazi za ziada, kazi za muda wa ziada (ajari), mazingira magumu, na honoraria inayolipwa kwa waajiriwa wa serikali au taasisi, bajeti ambayo inalipwa yote au sehemu yake na ruzuku ya bajeti ya serikali

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HAYA NDIYO MAPATO YANAYOHUSISHWA KATIKA KUKOKOTOA KODI ITOKANAYO NA AJIRA (PAYE)
HAYA NDIYO MAPATO YANAYOHUSISHWA KATIKA KUKOKOTOA KODI ITOKANAYO NA AJIRA (PAYE)
https://1.bp.blogspot.com/-G8QBTOHyZ7w/Wb-igSJ6SJI/AAAAAAAAe14/tTxLuP00hb0rTGeAQbKRk3ulFT3GaNpRgCLcBGAs/s1600/xtra-750x375.jpg.pagespeed.ic.QJE5a0aUuO.webp
https://1.bp.blogspot.com/-G8QBTOHyZ7w/Wb-igSJ6SJI/AAAAAAAAe14/tTxLuP00hb0rTGeAQbKRk3ulFT3GaNpRgCLcBGAs/s72-c/xtra-750x375.jpg.pagespeed.ic.QJE5a0aUuO.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/haya-ndiyo-mapato-yanayohusishwa-katika.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/haya-ndiyo-mapato-yanayohusishwa-katika.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy