HII NDIYO MIJI YENYE UTULIVU NA AMANI ZAIDI DUNIANI

SHARE:

Stuttgart. IWAPO amani ya mawazo au akili inamaanisha kutembea kwa utulivu nyumbani ukipita kwenye miti na maua, kuwa na fedha za kut...

Stuttgart.
IWAPO amani ya mawazo au akili inamaanisha kutembea kwa utulivu nyumbani ukipita kwenye miti na maua, kuwa na fedha za kutosha benki, kuwa na kazi ya uhakika, mahali bora zaidi kwa kupata amani hiyo ni katika miji ya nchini Ujerumani.
Hanover.
Utafiti mpya umeonyesha miji yenye utulivu zaidi ya mwaka 2017 kwa kutia maanani usafiri wa barabarani, usafiri wa umma, maeneo ya kupumzikia na bustani, hali za kifedha za watu wake ikiwa pamoja na viwango vya madeni, afya ya kimwili na kiakili na saa ambazo miji husika hupata mwanga wa jua kwa mwaka.
Graz.
Katika miji 150 iliyohusika, miji minne ya kwanza miongoni mwa kumi isiyokuwa na matatizo ni ile ya Ujerumani. Mji wa kusini mwa nchi hiyo wa Stuttgart ndiyo unaongoza orodha hiyo, Hanover ukishika nafasi ya tatu, Munich wa tano na Hamburg ukishika nafasi ya tisa na Graz wa Austria.
Munich.
Nchi ndogo yenye utajiri mkubwa ya Luxembour inayokaliwa na watu wasiozidi 600,000, ndiyo inashika nafasi ya pili duniani. Mji wa Bern nchini Switzerland unashika nafasi ya nne, Bordeaux (Ufaransa) wa sita, Edinburgh, Uingereza wa saba.
Bern.
Sydney, Australia (wa nane) ukiwa mji pekee usiokuwa wa Ulaya kuingia katika kumi bora wakati ambapo Seattle ndilo jiji lenye mazingira bora yasiyo ya joto nchini Marekani.
Sydney.
Utafiti huo uliofanywa na shirika moja la Uingereza liitwalo Zipjet, ulijumuisha maeneo 500 yenye kuhusisha aina 17 za mazingira mbalimbali ikiwa ni pamoja na miundombinu, viwango vya uchafuzi wa mazingira, fedha na hali za raia wake.
Kwa upande wa miji yenye matatizo na wasiwasi, Baghdad wa nchini Iraq unashika nafasi ya kwanza ukifuatiwa na Kabul (Afghanistan) ambapo Lagos nchini Nigeria barani Afrika, unashika nafasi ya tatu.
Mji miwili ya Afrika, Dakar (Senegal) na Cairo (Misri) inashika nafasi ya nne na tano katika orodha hiyo, ikifuatiwa na Tehran (Iran) inayoshika nafasi ya sita, Dhaka ya Bangladesh (nafasi ya saba) na Karachi wa Pakistan unaoshika nafasi ya nane. Miji ya New Delhi wa India na Manila (Philippines) inashika nafasi ya tisa na kumi katika orodha hiyo.
Katika utafiti huo pia palibainika kwamba Luxembourg una idadi ndogo zaidi ya watu ukifuatiwa a Kuwait City, wakati ambapo Sydney na Melbourne inayoshika nafasi ya sita na saba, maeneo yake hayana msongamano wa watu.
Kwa upande huohuo wa mazingira barani Afrika, Abidjan nchini Ivory Coast ndiyo una kiwango cha chini zaidi cha uchafuzi wa mazingira kwa upande wa sauti ambapo Antananarivo (Madagascar) una kiwango cha chini zaidi katika uchafuzi wa mazingira wa mianga wakati wa usiku, jambo linalofanya kushindikana kuonekana kwa nyota na sayari mbalimbali angani nyakati za usiku.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HII NDIYO MIJI YENYE UTULIVU NA AMANI ZAIDI DUNIANI
HII NDIYO MIJI YENYE UTULIVU NA AMANI ZAIDI DUNIANI
https://2.bp.blogspot.com/-Fna7OVPPREQ/WcE6UDTpqlI/AAAAAAAAe70/RNPluOGJllcSIOyCFti-Z3XtMui1l_NawCLcBGAs/s1600/Stuttgart.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-Fna7OVPPREQ/WcE6UDTpqlI/AAAAAAAAe70/RNPluOGJllcSIOyCFti-Z3XtMui1l_NawCLcBGAs/s72-c/Stuttgart.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/hii-ndiyo-miji-yenye-utulivu-na-amani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/hii-ndiyo-miji-yenye-utulivu-na-amani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy