Huu ndio ukweli wa Jaydee kuitema Rockstar 4000 na meneja wake Seven Mosha

SHARE:

Baada ya kusambaa kwa taarifa za Lady Jaydee kujitoa katika lebo kubwa Afrika ya Rockstar 4000 ambayo pia inamsimamia Alikiba na Ommy Dimpoz...

Baada ya kusambaa kwa taarifa za Lady Jaydee kujitoa katika lebo kubwa Afrika ya Rockstar 4000 ambayo pia inamsimamia Alikiba na Ommy Dimpoz, mapya yaibuka.Akiongea na Bongo5, mtu wa karibu wa msanii huyo, amesema Jide hajawahi kusaini mkataba na Rockstar ndio maana hakuna picha zilizowahi kuonyesha mkataba huo, alikuwa anafanya kazi na Seven Mosha ambaye ni bosi wa lebo hiyo kama rafiki yake wa muda mrefu ili kuweza kumsaidia kazi za muziki wake.

“Nafikiria kaamua tu kuacha kufanya kazi na Seven, wewe mwenyewe unaona wasanii wote wa Rockstar au hata wa WCB au artist yoyote anaposaini contract huwa anaonyesha kwenye media na anakuwa anatangazwa kabisa kuwa ni msanii mfano kama wa Rockstar ni wa Rockstar. Kwa Jaydee hiko kilikuwa hakijafanyika ni kwamba walikuwa wanafanya kazi tu yeye na Seven na sio kwamba yeye alikuwa anafanya kazi na Rockstar direct,” kimesema chanzo hiko.

“Pia ilikuwa in process kwamba wanapimana kuwa baadae Jaydee ataingia kwenye Rockstar lakini nafikiria haikufikia muafaka wa yeye kuingia may be. Nasema may be inaweza ikawa hawakufikia malengo ya pamoja kwamba artist anakuwa na malengo yake kwa meneja lakini hakufikisha au msanii hakufikisha malengo ya meneja ambayo alikuwa anayafikiria, hizo ni issue zote zinazowezekana,” kimeongeza.

“Lakini ni watu ambao walikuwa wanafanya kazi tangu zamani, hata wakati ule Gardinani meneja wake lakini bado alikuwa anafanya kazi na Seven. Kama kulikuwa na kitu cha Jaydee ambacho anaweza kukipush alikuwa anafanya kwa sababu ni marafiki wa siku nyingi.”

Hata hivyo mtu huyo amesisitiza kuwa hakuna ugomvi wala tatizo lolote lililopo kati ya Jide na Seven kwani bado urafiki wao upo pale pale.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Huu ndio ukweli wa Jaydee kuitema Rockstar 4000 na meneja wake Seven Mosha
Huu ndio ukweli wa Jaydee kuitema Rockstar 4000 na meneja wake Seven Mosha
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/15056780_1419032445070140_1388615986822774784_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/huu-ndio-ukweli-wa-jaydee-kuitema.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/huu-ndio-ukweli-wa-jaydee-kuitema.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy