IGP SIRRO YUPO NCHINI UGANDA KUSHIRIKI MKUTANO WA 19 WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI YA NCHI ZA MAZIWA MAKUUMkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, yupo Kampala nchini Uganda, kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki (EAPCCO) ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.2 (2)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki (EAPCCO) unaofanyika Kampala nchini Uganda, wakifuatilia mada inayowasilishwa mbele yao katika mkuatano ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi, katika mkuatano huo yupo pia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania. 2
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post