Jacqueline Wolper: Kati ya Pesa na Mapenzi, Nitachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa..

SHARE:

Mfanya biashara na staa wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper amesema kupitia IG Yake kuwa Kati ya Pesa na Mapenzi, atachagua Pesa Kwanza ila...Mfanya biashara na staa wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper amesema kupitia IG Yake kuwa Kati ya Pesa na Mapenzi, atachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa, Wolper alianza kwa kulalamikia watu wanaofuatilia maisha ya watu wengine….

Wolper ameandika maneno haya “Kuna watu wanapenda sana kufikiria watu kuliko maisha yao binafsi kwa mfano mtu anaweza kukujudge kwa macho kuliko kukujua,kwa mfano mm napenda sn kuwa na ela mda mwingi na hata mawazo yangu pia mengi yanakuwaga ya ela!kwa mfano nikikaa nawaza nifanye nn nipate ela,nawaza ela sn mda mwingi!”

 

Anaendelea Hapa>>”Kweli kuna mapnz ktk maisha yangu na ninajipa mda wa mapnz! Lkn nikisema nijilinganishe kati ya mapnz na ela!Kwakweli pesa kwanza,Ingawa pia sitaki pesa inifanye mtumwa,nataka niipende bila kufanya vitu vilivyo nje ya uwezo wangu na pia pesa inaleta heshima hata kwenye mahusiano!ukiwa mwanamke wakutojituma bwana majibu ni kwamba mwanaume anakuchukulia poa na hatokaa aku appreciate kwa chochote kwasababu hujui kujitafutia,Na mm pia mtu aninyanyase kisa ela ninayoweza kujitafutia mwenyewe hilo siwezi kuvumilia ndo maana,nawaza mda mwingine mpk naota mishono nikilala 😂😂Lkn kwa msionijua mtasema napenda mapnz ni kwasababu tu nimewapa nafasi mjue maisha yangu ya mahusiano…

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Jacqueline Wolper: Kati ya Pesa na Mapenzi, Nitachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa..
Jacqueline Wolper: Kati ya Pesa na Mapenzi, Nitachagua Pesa Kwanza ila pia sitaki pesa inifanye mtumwa..
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/WOLPE-768x474.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/jacqueline-wolper-kati-ya-pesa-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/jacqueline-wolper-kati-ya-pesa-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy