Jacqueline Wolper : Wakigundua una furaha wanajaribu kukufanya uwe down

SHARE:

Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameanza kuwa mshauri wa mambo kadhaa katika maisha ya kila siku. Kupitia mtandao wa kijamii wa Ins...

Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameanza kuwa mshauri wa mambo kadhaa katika maisha ya kila siku.Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, mrembo huyo ametoa ushauri juu ya baadhi ya binadamu wanaotaka kumshusha mtu kimaendeleo na kutaka kumkwamisha pindi wakimuona na furaha.
Basi leo nataka niwaambie kitu hakuna binadamu anaependa hivyo ww ulivyo na ndio maana unakuta wanazua mambo mengi ili wajaribu kukufanya ujione mdhaifu,Binadam bwana wanaweza wakatafuta tatizo pasipo kuwa na tatizo!Wakiona mtu yupo happy anajitafutia,anafanya yanayo muhusu wanaona hilo ni kosa na mbaya zaidi wakigundua una furaha wanajaribu kukufanya uwe down,Ingawa sio wote lkn wapo hawa watu na wengine tupo nao majumbani mwetu tunaishi nao..Unakuta mtu unafanya kitu kizuuuri lkn haupongezwi kwa lolote mbaya zaidi wanakiponda ili ujikatie tamaa na hiyo yote kwasababu wao hawana basi wanataka ww uwe km wao…Sasa niwashauri ndugu zangu tusiwe watu wakuchulia kitu km kilivyo kuna wengine wanataka kukuona tu umeshindwa hiyo ndo furaha yao wao,fanya mwenyewe,amua mwenyewe na pia jipongeze mwenyewe ikiwezekana nyamaza kabisa wasijue yako ila wape nafasi ya kuona mafanikio yako..Usikubali kumpa mtu mwingine nafasi zaidi ya ww unavyotakiwa kujipa..Jipe nafasi,Jipongeze na jiamini bila kujali mwingine anasema au atasema nn…Pambana na uwezo wako cha msingi usishindane nao…Amini unaweza kupitia wewe mwenyewe!

Kwa sasa mrembo huyo amejikita katika biashara ya mavazi na duka lake limekuwa likitengeneza nguo kwa kuzishona.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Jacqueline Wolper : Wakigundua una furaha wanajaribu kukufanya uwe down
Jacqueline Wolper : Wakigundua una furaha wanajaribu kukufanya uwe down
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/21910849_1466748523403899_976865778622005248_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/jacqueline-wolper-wakigundua-una-furaha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/jacqueline-wolper-wakigundua-una-furaha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy