JPM ALIAGIZA JESHI LA WANANCHI KUJENGA UKUTA ENEO LA TANZANITE

SHARE:

Rais John Magufuli. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameliagiza  Jeshi la Wananchi (JWTZ)  kushirikiana na  Suma JKT kujenga u...

Rais John Magufuli.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameliagiza Jeshi la Wananchi (JWTZ) kushirikiana na Suma JKTkujenga ukuta eneo lenye madini ya Tanzanite wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Magufuli ametoa agizo hilo leo Jumatano, Septemba 20, 2017 akiwa ziarani mkoani Manyara alipowahutubia wananchi wa Simanjiro akizindua Barabara ya Lami kutoka Kia hadi Mererani.
“Nchi hii ni tajiri, tulipewa madini na Mungu ambayo hayapatikani nchi yoyote, lakini hayatusaidii sisi na tunapata shida. Kwa nini tupewe Tanzanite, tena Simanjiro pekee halafu wanachi wapate shida za maji na barabara? Kwa nini tuibiwe? Kwani Mungu alifanya makosa kutupa hayo madini? Haiwezekani, tuanze kubadilika sasa.
“Tatizo letu sio vyama, bali ni vipi tunatumia rasilimali zetu. Tanzanite ingekuwa nchi nyingine, hapa pangekuwa kama Ulaya. Ipo siku Tanzanite haitakuwepo, tutaachiwa mashimo tu! Hakuna haja ya kumung’unya maneno, Tanzanite inaibwa, limekuwa shamba la bibi, tena la mabibi waliokufa miaka ya nyuma.
“Naagiza kuwa eneo la madini ya Tanzanite, Mererani ambalo ni Block A hadi Block D liwekwe ukuta, kuwe na mlango mmoja tu. Juu ya uzio huo kufungwe kamera, hata mtu akimeza Tanzanite itaonekana, ikifichwa kwenye viatu itaonekana, nataka kila mtu apate haki yake,” alisema Magufuli na kuongeza;
“Soko la Tanzanite litahamia hapa Simanjiro kutoka Arusha. Kwa kuwa barabara ni ya lami, anayetaka kununua aje aifuate huku, wachimbaji wadogo ruksa kuchimba na mkishachimba Tanzanite mkiwa ndani ya uzio mtauza kwenye maduka humohumo ndani.”
Aidha Rais Magufuli ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhakikisha inahusika kwenye ununuzi wa madini hayo yanayopatikana Tanzania pekee huku akiwataka wanunuzi kutoka sehemu yoyote duniani wanaohitaji madini hayo, kuyafuata Mererani ili kukuza uchumi wa nchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JPM ALIAGIZA JESHI LA WANANCHI KUJENGA UKUTA ENEO LA TANZANITE
JPM ALIAGIZA JESHI LA WANANCHI KUJENGA UKUTA ENEO LA TANZANITE
https://4.bp.blogspot.com/-uugoEB_1xS0/WcI56fh1FZI/AAAAAAAAe-I/0_j5i-J9UlAFsBh7lEs7FGsGSoXOaqWCgCLcBGAs/s1600/Rais-Magufuli.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-uugoEB_1xS0/WcI56fh1FZI/AAAAAAAAe-I/0_j5i-J9UlAFsBh7lEs7FGsGSoXOaqWCgCLcBGAs/s72-c/Rais-Magufuli.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/jpm-aliagiza-jeshi-la-wananchi-kujenga.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/jpm-aliagiza-jeshi-la-wananchi-kujenga.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy