KAJALA, WOLPER KIMEWAKA MBAYA

SHARE:

Kajala Masanja DAR ES SALAAM: Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper t...

Kajala Masanja
DAR ES SALAAM: Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema kimewaka mbaya baada ya mazungumzo kwa njia ya video kati ya muigizaji huyo na aliyekuwa bwana wa mwenzake kuwekwa mtandaoni na kuibua makubwa.
Kajala alikuwa akizungumza kwa njia hiyo ya kisasa na msanii Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, akionekana akila tunda aina ya ‘apple’ kitandani kwake, huku msanii huyo naye akiwa kitandani kwake, kabla ya kijana huyo mwenyeji wa Mtwara, kuirusha picha hiyo mitandaoni na kusababisha ubuyu kusambaa. Kitendo hicho kilionekana kumkera Wolper ambaye ndiyo kwanza ametoka kuachana na Harmonize, hivyo kushindwa kujizuia na kuandika chini ya picha hiyo maneno yafuatayo;
“Yaani nimekaa hapa mwenyewe nimewaza mapenzi ya siku hizi yana drama mno, mara leo huyo, mara kesho yule.” Akijua wazi muigizaji mwenzake ameumizwa na kitendo hicho, staa mwingine, Wema Sepetu aliingilia kati ishu hiyo na yeye kuandika kitu chini ya picha hiyo; “Be carefully my baby, huyo nyakunyaku asije akapita maana kaambiwa mlango uko wazi.
Jacqueline Wolper
” Maneno hayo yalionekana kumuuma Kajala, ambaye mara moja alikimbilia Kituo cha Polisi Mabatini, kwenda kumshtaki Harmonize kwa kitendo chake cha kuiweka picha hiyo mitandaoni na kuleta tafsiri kuwa huenda wawili hao ni wapenzi, kitu ambacho siyo cha kweli na yeye amepewa RB No KJN/ PE/73/2017 Jalada la uchunguzi.
“Harmonize nimemshitaki ili ajue mimi siyo mtu wa kuchezewa kila wakati, maana ile video tulikuwa tukizungumza kawaida, kwa nini aisambaze, ili iweje kama siyo kuchafuana huko,” alisema Kajala. Staa huyo aliongeza kuwa anawashangaa wasanii wenzake Wolper na Wema kuingilia vitu kama hivyo kwa sababu labda wanaona kama yeye ni wa kula mizoga yao.
“Mimi nashangaa sana, hivi wamenionaje, wanafikiri mimi ni wa kula mizoga yao nini wanayoiacha, wamenishangaza sana,” alisema Kajala Katika Kituo cha Polisi Mabatini, Risasi Mchanganyiko lilimshuhudia Harmonize akiwasili kusikiliza shauri hilo ambapo kwa mujibu wa habari za uhakika kituoni hapo, mwimbaji huyo alijitetea kuwa aliyeweka picha hizo mtandaoni alikuwa ni mwanamke wake wa Kizungu, ambaye alimtumia mtu mwingine akitaka kumjua kwa jina muigizaji huyo. Wema na Wolper hawakuweza kupatikana kuzungumzia ishu hiyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KAJALA, WOLPER KIMEWAKA MBAYA
KAJALA, WOLPER KIMEWAKA MBAYA
https://2.bp.blogspot.com/-3CFaocOq1L8/WcIIhiUDVcI/AAAAAAAAe9I/YhqG-O5qC3gglJimk32nCmx4e_67DGWzgCLcBGAs/s1600/kajala-5.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-3CFaocOq1L8/WcIIhiUDVcI/AAAAAAAAe9I/YhqG-O5qC3gglJimk32nCmx4e_67DGWzgCLcBGAs/s72-c/kajala-5.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/kajala-wolper-kimewaka-mbaya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/kajala-wolper-kimewaka-mbaya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy