KANYE AMKALISHA JORDAN, ASHIKA NAMBA MOJA

SHARE:

KWA mujibu wa kampuni ya kuangalia mauzo ya  NPD Group  Adidas, msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, ameiikalisha Jor...

KWA mujibu wa kampuni ya kuangalia mauzo ya NPD Group Adidas, msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, ameiikalisha Jordan kwa kuwa brand namba moja inayoongoza kwa kuuza viatu zaidi Marekani kuliko Jordan.

Mchambuzi wa michezo, Matty Powell alisema “I’ve never seen a brand in the sneaker industry grow this fast,” (Sijawahi kuona brand ya viatu inakua kwa kasi kiasi hiki)

From January through August of this year, Adidas had 11.3 percent of the U.S. market share by dollars. That was up from the 6.6 percent the brand had over the same period last year.

(Kutoka Januari hadi Agosti tayari Adidas imefikia mpaka asilimia 11.3 ndani ya Marekani kutoka asilimia 6.6 mwaka uliopita,

wakati brand ya Jordan imeongezeka asilimia moja tu, kutoka asilimia 9.4 mpaka kufikia asilimia 9.5 ndani ya kipindi cha mwaka mzima)


Jordan ikiwa chini ya brand ya Nike ndiyo ilikuwa inaongoza kwa mauzo Marekani lakini imeshuka kutoka asilimia 39 mwaka jana mpaka asilimia 37 mwaka huu!


Mafanikio haya yanakuja baada ya Adidas kutoa brand kama za Superstar na Stan Smith, na Ultraboost ambazo zinatoka chini ya Kanye za Yeezy kwenye dili ambalo Adidas waliingia na Kanye West na kuonekana kuwa Yeezy imekua kwa kasi ikiwa na maana kuwa Kanye kamzidi Jordan baada ya Adidas kupanda kuwa namba moja kwenye mauzo nchini Marekani na kuishusha Jordan chini na Nike kuwa namba 2 licha ya kuwa Nike bado ni wakali wa mpira wa kikapu kama LeBron James, Kevin Durant na Kyrie Irving ambao ni watu ambao wenye nguvu na ushawishi na wameingia dili na Nike katika brand ya viatu vyao.

Kumbuka Jordan ndiyo brand ambayo ilikuwa ikifanya vizuri katika soko la viatu Marekani kwa muda mrefu na kuona wachezaji wa basketball wakivaa, wasanii kwenye videos na kupiga misele lakini Yeezy imeonekana kuwa tishio na kufanya mapinduzi ya soko.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KANYE AMKALISHA JORDAN, ASHIKA NAMBA MOJA
KANYE AMKALISHA JORDAN, ASHIKA NAMBA MOJA
https://2.bp.blogspot.com/-NqBC-D37Ymk/WcpHcobj0YI/AAAAAAAAfVE/MDspA6k0HJAE7UY8B1TU7vEABfbAO85CgCLcBGAs/s1600/kanye-1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-NqBC-D37Ymk/WcpHcobj0YI/AAAAAAAAfVE/MDspA6k0HJAE7UY8B1TU7vEABfbAO85CgCLcBGAs/s72-c/kanye-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/kanye-amkalisha-jordan-ashika-namba-moja.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/kanye-amkalisha-jordan-ashika-namba-moja.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy