KISA MTOTO WA MOBETO, ZARI ATOA MAPOVU BALAA

SHARE:

LILE sakata la mtoto wa mwanamitindo  Hamisa Mobeto, Abdulatif Nasibu  kuzua utata, kila mmoja akiwa na shauku ya kumjua baba wa mtoto hu...

LILE sakata la mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobeto, Abdulatif Nasibu kuzua utata, kila mmoja akiwa na shauku ya kumjua baba wa mtoto huyo, hatimaye ukweli umefahamika baada ya msanii wa Bongo Flevaaliyekuwa akihusishwa naye kwa muda mrefu, kujitokeza hadharani na kukiri kwamba yeye ndiye baba halisi wa mtoto huyo, jambo lililoamsha hasira kali kwa mwanamama Zarina Hassan ‘Zari’.
Zari ambaye amezaa naye watoto wawili, muda mfupi baada ya msanii huyo kusikika kwenye kituo kimoja cha redio na runinga akikiri kwamba mtoto huyo ni wake, na kwamba amekuwa akimhudumia kwa siri huku akisherehesha kwamba alishamwambia Zari na akakubaliana na hali halisi, mwanamama huyo amekuja juu na kutoa mapovu si ya nchi hii.

Hamisa Mobeto.
“Hahahaha unajidanganya, unasema uongo kuhusu mimi kujua kuhusu michepuko yako, malizana na balaa ulilolianzisha. Mimi kunyamaza haimaanishi ni mpumbavu. Kuwa makini na maneno yako,” Zari aliandika ujumbe huo kwenye akaunti yake ya Snapchat na kuongeza:
“Inawezekana mimi ni mama wa watoto wako ndiyo maana nimeamua kunyamaza kimya. Labda u-google kuhusu ‘defamation of character lawsuit’, usinijaribu.”
Kauli hiyo ya mwanamama huyo, imezua gumzo upya kwa sababu inaonesha dhahiri kwamba alichokisema msanii huyo, kwamba Zari anafahamu kuhusu sakata hilo na walishalimaliza, ni uongo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KISA MTOTO WA MOBETO, ZARI ATOA MAPOVU BALAA
KISA MTOTO WA MOBETO, ZARI ATOA MAPOVU BALAA
https://4.bp.blogspot.com/-6PWb4OGhixY/WcE2PRWpj-I/AAAAAAAAe6w/MUqQI-Qit0c31N3ycuVnhl1SbMq6fGF3ACLcBGAs/s1600/zari-na-mobeto-1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-6PWb4OGhixY/WcE2PRWpj-I/AAAAAAAAe6w/MUqQI-Qit0c31N3ycuVnhl1SbMq6fGF3ACLcBGAs/s72-c/zari-na-mobeto-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/kisa-mtoto-wa-mobeto-zari-atoa-mapovu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/kisa-mtoto-wa-mobeto-zari-atoa-mapovu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy