KOCHA WENGER ASHANGAZWA MCHEZO WAO KUENDELEA LICHA YA GHASIA

Kocha Arsene Wenger alishangazwa mchezo wa Ligi ya Uropa wa Arsenal kuendelea kufanyika kwa ghasia za mashabiki wasio na tiketi katika mchezo dhidi ya Cologne.

Mashabiki wa wageni Cologne wapatao 20,000 walijitokeza London, licha ya klabu hiyo ya Ujerumani kutengewa tiketi 2,900.

Baada ya Arsenal kushinda kwa magoli 3-1 jana katika dimba la Emirates Stadium, Kocha Wenger amesema tunaishi katika jamii inayohitaji ulinzi kwa asilimia 100.
      Askari wa Jiji la London wakiwazuia maelfu ya mashabiki wa Cologne wasio na tiketi

  Askari pia walilazimika kutumia mbwa katika kutuliza ghasi za mashabi wa Ujerumani ndani ya uwanja wa Emirates
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post