KUBENEA AIOMBA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI IMPE MUDA WA KUPATA MATIBABU

SHARE:

Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeahirisha kumuhoji Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mhe. Saed Kubenea kutokana na kufi...

Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeahirisha kumuhoji Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mhe. Saed Kubenea kutokana na kufika mbele ya Kamati hiyo akiwa mgonjwa.
Mhe. Kubenea alifika mbele ya Kamati majira ya saa 4 asubuhi akiwa katika baiskeli ya wagonjwa ya miguu minne (Wheel chair) chini ya ulinzi wa Askari wa Jeshi la polisi.
Akizungumzia katika kiao hicho, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika alisema kamati hiyo imekutana kutokana na kuletewa shauri na Mhe. Spika la kumuita Mbunge huyo kwa madai ya kudharau mamlaka ya Spika kwa kauli alizozitoa katika kanisa moja Jijini Dar es Salaam.
“Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge inakutana pale inapoletewa shauri na Mhe. Spika, tumeletwa mashauri ya Mhe. Kubenea, ya kudharau Mamlaka ya Spika kwa kauli ambazo
amezitoa katika kanisa la huko Dar Es Salaam,” alisema.
Alisema taratibu zinamtaka mtu anayetakiwa kufika mbele ya kamati hiyo kupelekewa Hati ya kuitwa na kwamba alishapelekewa.
Alisema hata hivyo Mhe. Kubenea amepelekwa akiwa katika baiskeli ya wagonjwa na kuiomba Kamati impangie siku nyingine na kwamba Kamati hiyo imeridhia ombi lake.
“Kamati baada ya kumsikliza Mhe. Kubenea imeridhia ombi lake la kumpangia tarehe nyingine kwa kumpa muda wa kuangalia afya yake mpaka atakapopona,” alisema.
Mhe. Mkuchika aliagizaa Mhe. Kubenea apelekwe katika Zahanati ya Bunge ili aweze kupewa huduma ya kwanza. Awali Mhe. Kubenea baada ya kuhojiwa na kamati kama ataweza kuzungumza katika kikao hicho aliiomba kamati kumpangia siku nyingine kwa kuwa asingeweza kuzungumza kwa wakati ule kutokana na kuwa katika maumivu makali.
Septemba 12, mwaka huu, Mhe. Spika Job Ndugai aliagiza Mbunge huyo kufika mbele ya kamati hiyo kwa kuhojiwa kuhusiana na tuhuma alizozitoa wakati wa Ibada tarehe 10 Septemba, 2017 kwamba Mhe. Spika alisema uongo Bungeni wakati akitangaza idadi ya risasi zilizopigwa kwenye gari la Mhe. Tundu Lissu.
Mhe. Spika pia aliiagiza Kamati hiyo Mhe. Zitto Kabwe kufuatia kauli zake alizozitoa kwenye mitandao kwamba Mhimili wa Bunge umewekwa mfukoni na Serikali na kwamba Bunge lilikosea
kushughulikia Taarifa za Kamati kuhusu Almasi na Tanzanite.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KUBENEA AIOMBA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI IMPE MUDA WA KUPATA MATIBABU
KUBENEA AIOMBA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI IMPE MUDA WA KUPATA MATIBABU
https://2.bp.blogspot.com/-05dSwGPoL4U/WcKbl5GPbOI/AAAAAAAAfAs/oaU1wdUHjf4LEJmqtZU3jzFvDdfgleelACLcBGAs/s1600/Saed-Kubenea-768x432.png
https://2.bp.blogspot.com/-05dSwGPoL4U/WcKbl5GPbOI/AAAAAAAAfAs/oaU1wdUHjf4LEJmqtZU3jzFvDdfgleelACLcBGAs/s72-c/Saed-Kubenea-768x432.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/kubenea-aiomba-kamati-ya-bunge-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/kubenea-aiomba-kamati-ya-bunge-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy