KUHANI WA KANISA LA SILOAM NCHINI KENYA AFANYIWA IBADA KWA KUPATA UBUNGE

Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Siloamu, Mpaka Mafuta akimfanyia maombi rasmi ya kumbariki Kuhani wa kanisa hilo nchini Kenya Agatha Mtindi, kwenye Ibada ya Mungu Baba, iliyofanyika jana katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam. 

Agatha alifanyiwa maombi hayo maalum ya kumbariki kufuatia kuteuliwa kwake kuwa Mbunge kwenye Akaunti ya Machakosi nchini Kenya katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.

Zifuatazo ni picha za tukio hilo, tangu mwanzo hadi mwisho wa ibada. Picha zote na Bashir NkoromoKiongozi Mkuu wa Kanisa la Siloamu, Mpaka Mafuta akimfanyia maombi rasmi ya kumbariki Kuhani wa kanisa hilo nchini Kenya Agatha Mtindi, kwenye Ibada ya Mungu Baba, iliyofanyika jana katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam. 

Agatha alifanyiwa maombi hayo maalum ya kumbariki kufuatia kuteuliwa kwake kuwa Mbunge kwenye Akaunti ya Machakosi nchini Kenya katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.

Zifuatazo ni picha za tukio hilo, tangu mwanzo hadi mwisho wa ibada. Picha zote na Bashir NkoromoJIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post