KUNDI LA NYUKI LAVAMIA MAHAKAMA KUU NA KUWASHAMBULIA POLISI

SHARE:

Taharuki, waandamanaji na polisi wakitimua mbio. TAARUKI imeibuka katika viunga vya Jiji la Nairobi baada ya waandamanaji na Jeshi la...

Taharuki, waandamanaji na polisi wakitimua mbio.
TAARUKI imeibuka katika viunga vya Jiji la Nairobi baada ya waandamanaji na Jeshi la Polisi kikosi cha kutuliza ghasia wote kukimbia baada ya kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki lililokuwa nje ya Mahakama Kuu nchini humo.
Tukio hilo limetokea leo Jumatano, Septemba 20 wakati Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu ya Kenya walipokuwa wakitoa hukumu ya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa Rais baada ya kubaini dosari katika mchakato wa kuhesabu kura.
Nyuki walivyotanda.
Wakati majaji wakiendelea na utoaji hukumu hiyo, palikuwa na kundi kubwa la waandamanaji waliokuwepo nje ya mahakama wakipinga uamuzi huo huku polisi wa kutuliza ghasia wakiwadhibiti ndipo nyuki hao waliibuka na kuanza kuwang’ata askari pamoja na waandamanaji jambo lililopelekea wote kutimua mbio kutoka mahakamani hapo ili kujiokoa.
Baadhi ya raia na polisi waliokuwepo eneo hilo wameripotiwa kujeruhiwa vibaya na kundi hilo la nyuki hukun wengine wakikimbizwa hospitali na Ambulance ya St John kwa matibabu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: KUNDI LA NYUKI LAVAMIA MAHAKAMA KUU NA KUWASHAMBULIA POLISI
KUNDI LA NYUKI LAVAMIA MAHAKAMA KUU NA KUWASHAMBULIA POLISI
https://2.bp.blogspot.com/-3HizvjR84wM/WcKdkdshSUI/AAAAAAAAfBE/Rrj7XrbCzms786LveL7ckNP9blPme8MQgCLcBGAs/s1600/nyuki-1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-3HizvjR84wM/WcKdkdshSUI/AAAAAAAAfBE/Rrj7XrbCzms786LveL7ckNP9blPme8MQgCLcBGAs/s72-c/nyuki-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/kundi-la-nyuki-lavamia-mahakama-kuu-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/kundi-la-nyuki-lavamia-mahakama-kuu-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy