Lady Jaydee aamua kumwaga fedha kwa mashabiki wake kupitia mitandao ya kijamii

SHARE:

Mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee ameamua kumwaga fedha kwa mashabiki kupitia mitandao ya kijamii kwa kuanzisha shindano ambapo washindi watat...

Mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee ameamua kumwaga fedha kwa mashabiki kupitia mitandao ya kijamii kwa kuanzisha shindano ambapo washindi watatu watakao weza kujibu kwa ufasaha maswali matatu atayatoa kwenye mitandao hiyo watalamba jumla ya milioni 2.Lady Jaydee amesema katika mashindano hayo mshindi wa kwanza atajipatia milioni moja huku mshindi wa pili akipata laki saba na nusu na mshindi wa tatu atapata laki mbili na nusu ambapo kwa jumla atakuwa ametoa milioni mbili kwa washindi wote watatu.

Lady Jaydee ambaye sasa yupo katika kampeni ambayo baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakihisi huenda ni ujio mpya wa kazi yake mpya, huku wengine wakihisi huenda kuna jambo jingine mwanadada huyo anataka kufanya, lakini kwa mujibu wa historia Lady Jaydee amekuwa akifanya kampeni mara kadhaa pindi anapokuwa anaachia kazi zake za muziki.

Countdown na Lady Jaydee inakwenda kwa siku 20 ambapo ndipo washindi hao watapatikani lakini mpaka leo Septemba 5, 2017 zimeshapita siku siku 13 na kubaki siku saba kwa mantiki hiyo mshindi atapatikana mwanzoni mwa wiki ijayo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Lady Jaydee aamua kumwaga fedha kwa mashabiki wake kupitia mitandao ya kijamii
Lady Jaydee aamua kumwaga fedha kwa mashabiki wake kupitia mitandao ya kijamii
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/Jide.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/lady-jaydee-aamua-kumwaga-fedha-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/lady-jaydee-aamua-kumwaga-fedha-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy