LAZARO NYALANDU AWEKA WAZI ALICHOAMBIWA NA TUNDU LISSU HOSPITALINI JANA

SHARE:

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jana alipata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali mbunge mwenzake kutoka mkoa huo...

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu jana alipata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali mbunge mwenzake kutoka mkoa huo, Tundu Lissu anayeendelea na matibabu katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki amelazwa hospitalini hapo akitibiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiofahamika akiwa bungeni mjini Dodoma.
Akiwa hospitalini hapo, Nyalandu amesema kuwa hali ya mbunge huyo inaonyesha kuwa alishambuliwa vibaya sana na kwamba kazi kubwa ya madaktari wanayofanya kwa sasa ni kuhakikisha mwili wake unaimarika ili aweze kupata matibabu zaidi yanayostahili.
“Nimeonana na Mh. #TunduLissu katika chumba chake hospitali ya Nairobi na kuzungumza naye kuhusu hali yake na anavyoendelea. Ukweli ni kwamba, ameumizwa vibaya. Imeelezwa kwamba Madaktari wanaendelea na hatua kadhaa za matibabu, wakiwa wameanza kwa kumuimarisha (stabilization), ili kuufanya mwili uweze kumudu hatua zaidi za utibabu anazopaswa kufanyiwa.”
Katika mazungumzo yake na Tundu Lissu, Nyalandu amesema kwamba Lissu alifurahishwa na ujio wake na kwamba alimshukuru Mungu kwa kuzidi kumuweka hai licha ya tukio hilo la kutisha lililomtokea.
“Katika kuongea naye, Mh. Lissu ameonesha uso wa tabasamu, huku akimshukuru Mungu kwa kumruhusu kuwepo hai.”
Naamini kwamba hatua zaidi na za haraka zitahitajika kumsaidia apate huduma za kitabibu katika ubora na ufanisi uliopo kwa sasa duniani, alisema Nyalandu.
Aidha, aliendelea kusisitiza kwamba, ni maombi yake kwa watanzania, waweke pembeni tofauti za kiitikadi, ama mitazamo, waungane na kushikamana kama Taifa kwa ajili ya kumwomba Mungu anyooshe mkono wake, na kumponya Tundu Lissu.
Nyalandu pia amewasisitiza watanzania kutoa chochote kile walichonacho kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Tundu Lissu aweze kupona na kurejea kulitumikia taifa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: LAZARO NYALANDU AWEKA WAZI ALICHOAMBIWA NA TUNDU LISSU HOSPITALINI JANA
LAZARO NYALANDU AWEKA WAZI ALICHOAMBIWA NA TUNDU LISSU HOSPITALINI JANA
https://4.bp.blogspot.com/-MjjW0F_4HBM/Wb5xLOuQbHI/AAAAAAAAey8/JXwOipz8PVc5OgWbolK0-HUAqqJYn7dmQCLcBGAs/s1600/x2-6-645x375.jpg.pagespeed.ic.DkEA7utm32.webp
https://4.bp.blogspot.com/-MjjW0F_4HBM/Wb5xLOuQbHI/AAAAAAAAey8/JXwOipz8PVc5OgWbolK0-HUAqqJYn7dmQCLcBGAs/s72-c/x2-6-645x375.jpg.pagespeed.ic.DkEA7utm32.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/lazaro-nyalandu-aweka-wazi-alichoambiwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/lazaro-nyalandu-aweka-wazi-alichoambiwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy