Lulu diva aanza kupenya kimataifa

SHARE:

Msanii wa kizazi kipya Lulu diva Ambae kwa muda mfupi amekuwa Na fan base ya uhakika ndani na nnje ya nchi kutokana na jitihada zake,amefani...


Msanii wa kizazi kipya Lulu diva Ambae kwa muda mfupi amekuwa Na fan base ya uhakika ndani na nnje ya nchi kutokana na jitihada zake,amefanikiwa kuandika historia mpya katika muziki wake.


Lulu ambaye amewahi kubamba na trak yake ya ‘usimwache’ amefunguka kuwa hivi karibuni amefanikiwa kupata collabo yake ya kwanza ya kimataifa.


Akipiga story na Muandishi wetu,Lulu Diva amesema collabo hiyo ameshirikishwa na staa maarufu wa Zimbabwe Exq ambaye yupo chini ya label ya Military Touch inayomilikiwa na Jah Prayzah ambaye alifanya wimbo na Diamond Platnumz.


Lulu diva amefunguka kuwa mpango mzima wa kufanya collabo hiyo umesimamiwa na Jah Paryzah mwenyewe kwa kuwa amekuwa akizielewa kazi zake.


” Jah Prayzah najuana nae since naenda south ku shoot ngoma yangu ya pili ya Usimwache Tokea hapo amekuwa akiona kazi zangu Chanel kubwa Kama MTV,Trace na zingine so huwa ananifatilia Na kunipongeza kwa juhudi anazoziona nazifanya katika mziki wangu


Aliniambia anakuja Tanzania akifika tuonane ,alipofika alinitafuta na kuniomba nifanye collabo Na msanii wake Exq ambae yupo chini yake akanisikilizisha wimbo nikaiona ni mzuri Na Mimi naweza fanya kitu kizuri Kwa iyo sikusita kutoa jibu nilikubali hapo hapo sababu niliona nitapata faida Kwani nitaongeza mashabiki kutoka Zimbabwe Na Fanbase yangu itaongezeka
Tulifikia muafaka Na tayari tumefanya”


Hata Hivyo Lulu Diva ameweka wazi kuwa kazi hiyo ya kiwango cha kimataifa itakuwa hewani ‘soon’ ambapo katika kuonyesha kuwa si ya ‘mchezomchezo’ imetayarishwa na maprodyuza wakubwa watatu wa kimataifa wakiongozwa na Tamuka kutoka Zimbabwe , Abbdady na Tuddy Thomas wa Tanzania.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Lulu diva aanza kupenya kimataifa
Lulu diva aanza kupenya kimataifa
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/lulu-681x319.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/lulu-diva-aanza-kupenya-kimataifa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/lulu-diva-aanza-kupenya-kimataifa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy